Recent content by chineke_2016

  1. chineke_2016

    Benki imefunga matawi yake yote

    Hivi mtu na akili zako unafungua akaunti kwenye benki kama hzi unapenda hela zako akati nmb, crdb zipo
  2. chineke_2016

    Kichwa cha dushe kinawasha

    Haha bas fanya research kwa kula papuchi moja saa hii
  3. chineke_2016

    Kichwa cha dushe kinawasha

    Mkuu hiyo ni kwel dushe linawasha ndani kwa ndani then mbele lazima lina maji maji haliwi kazu, next step ni usaa
  4. chineke_2016

    Kichwa cha dushe kinawasha

    Happ ni gonorrhea hiyo jiandae na sindano 5 za nguvu
  5. chineke_2016

    Nacte wanaanza lini udahili (application)kwa mwaka 2019

    Kwa CO masomo ya sayansi PCB uwe na D n above
  6. chineke_2016

    Natafuta mke

    Nachoringia mashine
  7. chineke_2016

    Natafuta mke

    Habarini zenu mimi naitwa SEME nipo makete natafuta mke wa kuoa sifa :- -Awe na hofu ya mungu -Awe na chura aka mzigo -Awe na swaga kali kwa maana me naendaga maeneo nakutana na watu wa maana. -Elimu ya kidato cha nne. -Awe na kazi sitaki kuombwa hela -Asiwe na bwawa -Asiwe singo maza -Awe...
  8. chineke_2016

    Majina ya ajira za ualimu

    Ya 2018 hayo sura ww
  9. chineke_2016

    MKE WA JIRANI YANGU HASHIKI MIMBA NIFANYEJE?

    Haha nipeni ushauri nimpelekee
  10. chineke_2016

    MKE WA JIRANI YANGU HASHIKI MIMBA NIFANYEJE?

    [emoji16][emoji16]
  11. chineke_2016

    Anatishia kujiua kama sitarudiana naye

    Inawezekana amayapata huko ananisakzia
  12. chineke_2016

    Anatishia kujiua kama sitarudiana naye

    Yah Asanteni sana kwa ushauri anapigwa chini mazima huyu
  13. chineke_2016

    Hivi kumkataa mwanamke unafanyaje? Bila ya kumtamkia

    Acha kujibu simu zake, text zake ukiweza achana na hiyo number then uwe busy sana na mambo zako... Ikishindika nenda ka mganga akupe dawa ya yeye kukuchukia
  14. chineke_2016

    Anatishia kujiua kama sitarudiana naye

    Yani napata tabu sana sijui anataka nini... Ana akili ndogo huyu bado natafuta asije akaniharibia mipango yangu
  15. chineke_2016

    Anatishia kujiua kama sitarudiana naye

    Nimeamua kubembeleza leo ajue npo nae ila few days later nabadili namba zangu zote atanipa matatizo huyu mwanamke.. Hela zenyewe sina sijui anataka roho yangu
Back
Top Bottom