Recent content by chineke

  1. chineke

    JamiiForums Tanzania Urgent needed - graphics and designer

    Naomba ni PM
  2. chineke

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani atuasa kuhusu Demokrasia

    Huyo barozi aanze yeye kuimarisha demokrasia ubalozini kwake. Visa kupata ni longo longo. Hata uwe na sababu genuine unanyimwa tu.
  3. chineke

    JamiiForums Tanzania Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

    Kwa wateja wa iPhone je?
  4. chineke

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Membe kwa mtazamo wangu hauziki
  5. chineke

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Anafaa kuongoza hili taifa kwa mtizamo wa haraka haraka
  6. chineke

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Najiuliza, nani zaidi kati ya Magufuli na Membe? Mie nadhani Magufuli ana advantage sana maana Membe kwanza ataathirika na kundi la Lowassa, pili Membe ana makundi magufuli hana, Tatu kashfa ya membe kuwa ktk familia ya mkuu wa kaya yaweza muondolea sifa hiyo, lakini pia ukilinganisha utendaji...
  7. chineke

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habari channel ten ina lengo la kuchafua nchi

    Agreed. Hata mimi nimeshangaa sana.
  8. chineke

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Makubwa
  9. chineke

    JamiiForums Tanzania Buy HD premium Receiver: The best MPEG4 receiver with Free IPTV For Bein Sports & 1year TV1 CCcam

    Njunwa, hiyo ndo na being sports ipo?
  10. chineke

    JamiiForums Tanzania Buy HD premium Receiver: The best MPEG4 receiver with Free IPTV For Bein Sports & 1year TV1 CCcam

    Mkuu mimi nina decoder ya Humax kutoka abudhabi, nyungo 2 wa futi 6 na mdogo wa dstv, siwezi pata huo mpango?
  11. chineke

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mkuu nimependa sana, niliwasiliana na ndugu yangu ili anunue yeye anitumie, akasema, lazima nilipie ushuru na mambo kibao, ila pia sijajua gharama za kutuma kuja huku haiwezi kuwa very expensive? Na mzigo kama tv, unaweza kufika bila kuharibika kweli? Naomba unijuze mkuu!
  12. chineke

    JamiiForums Tanzania Pata smartphone yenye ubora stahiki

    Aliyekwambia huu ni msaafu au biblia ni nani? Ya kuwa haibadiliki hii mada? Usikariri
  13. chineke

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Asante sana kwa ushauri mkuu!
  14. chineke

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha contineto cha settelite

    Unatumia king'amuzi gani?
Back
Top Bottom