idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Kutapeliwa kunaanzaga hivihivi mtu anauza simu wewe unaulizia ma Tv.!!Mkuu bei ya htc one m8 bei gani? Pia nikitaka tv samsung LED series 5 inch 51 hadi 60 ni bei gani?
Kutapeliwa kunaanzaga hivihivi mtu anauza simu wewe unaulizia ma Tv.!!Mkuu bei ya htc one m8 bei gani? Pia nikitaka tv samsung LED series 5 inch 51 hadi 60 ni bei gani?
Thanks mkuu
Kutapeliwa kunaanzaga hivihivi mtu anauza simu wewe unaulizia ma Tv.!!
Nipe mawasiano yakoa au location ya ofisi yenu.
Mkuu niliku pm kwa msaada wako tafadhariUSHAURI WA BURE
Kwenye BOLD hapo nakushauri uagize itaku cost kama $156 tu na wiki mbili za kusubiri ambazo kwa Exchange rete ni shillingi 250,000 hivi....chagua moja kutoa 390,000 au 250,000
HTC One X G23 32GB Original HTC One X S720e Android Phone GPS WIFI 4.7 inch Screen 8MP camera Refurbished Unlocked HTC Phone-in Mobile Phones from Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
Mkuu niliku pm kwa msaada wako tafadhari