Nataka nitumie dstv na continental kwa dish moja maana kuna baadhi ya chennel za dstv hao continental hawana au nikiamisha angle channel za dstv hazipotei?
Inawezekana lkn unamuitaji Nguli wa satelite...
Nimeona ktk forum za wakenya na wanaija wako creative sana
Angalia hii picha sina hakika kama mafundi wa kwetu wanaweza Continental wako Amos 5 17 degrees east na DSTV wako eutelsat 36 degrees east
Kwenye hii picha huyu mdau anazishika zote....hivo iwapo ukimpata funi kama huyu basi utaingia cosst ya kununua tu LNB na labda LNB holder
naipata continental kama fta tangu mwezi wa6.nawashangaa sana watumiaji wa azam

Unatumia king'amuzi gani?
Inawezekana lkn unamuitaji Nguli wa satelite...
Nimeona ktk forum za wakenya na wanaija wako creative sana
Angalia hii picha sina hakika kama mafundi wa kwetu wanaweza Continental wako Amos 5 17 degrees east na DSTV wako eutelsat 36 degrees east
Kwenye hii picha huyu mdau anazishika zote....hivo iwapo ukimpata funi kama huyu basi utaingia cosst ya kununua tu LNB na labda LNB holder
![]()
Huwezi kutumia dish moja kwa ving'amuzi viwili. Maana kitendo cha kubadili angle tu utakuwa ume disturb hiyo ya dstv. Cha kufanya hapo lazima uwe na dish 2 na king,amuzi chenye kuweza kupokea cards zote mbili, then unkuwa na switch ya kupokea LNB signals mbili zote na ku combined kwenda ktk decoder hiyo... Unless uwe na ving'amuzi viwili na nyungo mbili... NJUNWA MFAFANULIE ZAID
Nimefulaishwa na maelezo mazuri sana ya kiufundi ambayo yametolewa basi kama waitaji msaada wakiufundi pia ushauli wadau tupo nafunga setilite zaidi ya 20 ni mkongwe kwenye hii game
Huwezi kutumia dish moja kwa ving'amuzi viwili. Maana kitendo cha kubadili angle tu utakuwa ume disturb hiyo ya dstv. Cha kufanya hapo lazima uwe na dish 2 na king,amuzi chenye kuweza kupokea cards zote mbili, then unkuwa na switch ya kupokea LNB signals mbili zote na ku combined kwenda ktk decoder hiyo... Unless uwe na ving'amuzi viwili na nyungo mbili... NJUNWA MFAFANULIE ZAID
Nataka nitumie dstv na continental kwa dish moja maana kuna baadhi ya chennel za dstv hao continental hawana au nikiamisha angle channel za dstv hazipotei?
Hicho kiinglishi unakionaje kwa maafande wetu? Hata hivyo kuangalia/kusikiliza/kusoma vitu vinvyohitaji critical thinking ni kipaji huoni muvi nyingi zinazopendwa hapa tanganyika ni zile za mitutu na vipigo....huitaji kuhangaisha ubongo wako....pupupupu......!Azam napenda channel yao moja inaitwa Investigation Discovery...Hii inaonesha crimes ambazo huwa zinafanyika USA na jinsi FBI wanavyo zittackle na crime hizi mara nyingi ni zile za Mke kumuua mme au vice versa
Hii channel inawafaa Medical investigator/Forensic pathologist ambao wanachunguza mtu kafa je...pia kwa wale askari inawafaa pia
Hii channel tayari mm inanitofautisha Azam na continental maana pia ipo kwenye dstv