Recent content by chimoli

  1. C

    JamiiForums Tanzania TRA ondoeni withholding tax kwa mpangaji, ilipwe na mwenye nyumba

    Ili kupunguza gharama kwako ongea na mwenyenyumba wako akupe mkataba ambao haujajazwa,then kama unalipa kodi laki moja kwa mwezi wewe andika unalipa 30000 kwa mwezi, itakupungizia gharama badala ya kulipa 60000 utalipa 15000 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Malaki nahitaji begi tano nakupataje? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafundi wa air condition

    0713561424 ni fundi mzuri aliwah nifanyia kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fizi zinaniuma sana

    Dawa ya maumivu yoyote tukiacha panadol tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fizi zinaniuma sana

    Sawa taenda kesho Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fizi zinaniuma sana

    Habari za wakati huu wakuu. Nimengoa jino tarehe 20 december 2018 lakini mpaka dakika hii fizi inaniuma sana. Dawa nilizopewa pamoja na za maumivu zimeisha na nimeongeza zingine lakini fizi bado tatizo. Naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Bado ipo mkuu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mayai

    Mtoni ipi tafadhari
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gauni la harusi

    Angalia pintrest kuna aina mbalimbali za shape na nguo zinazotakiwa kuvaliwa according to the shapes
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi amini nimepigiwa mke wangu kweupe

    Akili yangu imegoma kuelewa inanambia hii ni chai.
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi maex huwa wanaachana?

    Mmmh kwan wewe ulimwambia mashost kama utapita hapo?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tujifunze: Tukumbushane Amri za Kanisa!

    Mmmmh jitafakari tena
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sikukosea kumwambia mke wangu kiasi cha mshahara ili tupange malengo

    Sio kweli
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Mwandege au vikindu.vyumba viatu jiko sebule and dining Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Ya laki 50 natafuta boss Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom