Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,484
Dah...siku ikifika...bidhaa ikatoka kwa mzalishaji na kwenda kwa mlaji moja kwa moja...bila kupitia kwa huyu mlanguzi...mnyonyaji...mpanga bei...mvivu...mlaliaji.....tutakuwa tumepiga hatua muhimu ya uchumi wetu....[emoji41]
Na hao wa kati wale wapi?