Recent content by chimela

  1. chimela

    Liverpool msimu huu hachukui kombe lolote

    Asipochukua Liverpool vikombe vyote viwili basi atachukua baba ako #YNWA
  2. chimela

    Maduka ya dola yafungwe, watalii wanunue vitu kwa pesa ya ndani

    Unajua kazi za hayo maduka? Tuanzie hapo......
  3. chimela

    Picha: Uongozi unaoacha alama - DC Jokate abeba zege kama wavuja jasho wengine

    Alipiga picha na zege au alibeba zege
  4. chimela

    Huyu atafaa kuwa Rais lakini si Membe, Lowassa, Makamba na Makanjanja wengine

    One of the best thread kwa siku ya Leo .....Tunakumbuka matukio ya kihistoria ila naona ugumu unatokea kwenye kujifunza na matukio hayo
  5. chimela

    Buyungu ni CCM iwezayo kuleta maendeleo

    Biased analysis yaani uchambuzi ulioegemea upande....Mgombea mmoja unaonyesha ubora wake was kuwa mbunge pasi na kutoa madhaifu yake huku mwingine ukizungumzia madhaifu yake kana kwamba hana mazuri....Huu sio uchambuzi
  6. chimela

    Rais Magufuli alikosea kutamka kuwa CCM itatawala milele

    Lini aliwahi kupatia?
  7. chimela

    Kwa wale wachoraji picha kwa kutumia rangi nahitaji msaada kidogo

    Wakati najaribu kupitia pitia mitandaoni namna ya kufanya photo screen painting kuna kifaa nilikimiss au kukikosa kabisa pengine ni kwa sababu ya ugeni katika hii Sanaaa. Kitu chenyewe kinaitwa DIAZO POWDER kwa anaefahamu upatikanaji wake hapa Tanzania naomba anielekeze pamoja na bei zake sokoni...
  8. chimela

    Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

    Duh hivi umesoma vizuri article yote? huoni we ndo umekurupuka?
  9. chimela

    Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

    Iran sio nchi ya kiarabu
  10. chimela

    Msaada: Safari yangu ya Zambia.

    Dar-Tunduma ni 40,000tshs Tunduma-Lusaka nauli inacheza kwenye 200kwacha ambayo haipungui 45,000 za kitanzania .. Lodging in Lusaka ni gharama kubwa sana tofauti na Dar,....Hio distance ya kapili mposhi we ingia google tu msee
  11. chimela

    North & South Korea wameondoa tofauti zao. Iweje CHADEMA wanajitenga na CCM hapa Tanzania?

    IWEJE CCM WANAKUA WABISHI KUKAA NA CHADEMA kupatana IWEJE?
  12. chimela

    Ni nini chanzo cha GIZA kwenye universe.

    Kijiografia giza husababishwa na dunia kujizungusha kwenye muhimili wake(Earth's rotation in its axis) . Sasa kadri dunia inavyojizungusha ndivyo pande za dunia zinavyopata kimvuli cha pande nyingine . Kwa hiyo giza ni kimvuli cha pande moja ya dunia ..
Back
Top Bottom