Recent content by chimbendenga

  1. chimbendenga

    Hatimaye DK SLAA arejea

    Kwani CHADEMA bado mnalitaka hili jembe? Si mlisema chaninini jamani!?
  2. chimbendenga

    Mchumba wa jamaa yangu akilala hataki kuamshwa atoe penzi

    Dah! Yalinikuta ila sio kwa mchumba wa rafiki yangu, huyo alikuwa ni wa kwangu mwenyewe.
  3. chimbendenga

    KENYA: Mamlaka ya mawasiliano yapiga marufuku matangazo ya moja kwa moja kwa mikutano ya Kisiasa

    Narudia Tena Tanzania itaendelea kuwa baba wa demokrasia Afrika.
  4. chimbendenga

    Kila nionapo picha ya Rais Mstaafu Kikwete machozi yananitoka kwa uchungu

    Si ulipewa pande na uncle wako? Nenda kamwambie pia wanaachaje kazi? Atakuelekeza wala usiwe na wasiwasi.
  5. chimbendenga

    Kila nionapo picha ya Rais Mstaafu Kikwete machozi yananitoka kwa uchungu

    Kama hakuna madili na mshahara hautoshi acha kazi, uone umuhimu wa kuwa na kazi.
  6. chimbendenga

    Kila nionapo picha ya Rais Mstaafu Kikwete machozi yananitoka kwa uchungu

    We ni miongoni kwa wale mliokuwa mmezoea kukaa kijiweni na ofisi zenu za mfukoni, mkiulizwa mnasema eti mjini nipango. Zilipendwa hizo!!.. Hizi ni za Magufuli si za Jakaya.
  7. chimbendenga

    Stress za viongozi wa CCM ni dalili chama kipo mbioni kupotea

    Kazi ya vilaza ni uzushi, majungu na kulalamika! Wenzenu Ccm wanauza sera nyie mepangwa kueneza chuki zisizokuwa za msingi wala tija kwa taifa. Ila mwisho wa ubaya ni aibu
  8. chimbendenga

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Kati ya watu wenye utindio wa ubongo na wewe ni mmoja wao. Umungu wa Lowasa ni hukohuko kanda ya kwenu. Sisi kwetu ni shetani tu huyo.
  9. chimbendenga

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Dah! Namkumbuka sana huyu mh. Gama pindi alipokuwa mkuu wa wilayani kwangu Nachingwea, kwake maendeleo ilikuwa ndiyo kipaombele chake. Kweli wema hawadumu! R.I.P
  10. chimbendenga

    Walimtosa Ben Saanane, wakaingia mkenge kwa kijana wa Makumbusho

    Ila kwenye CDM hakuwa mnafiki, na hakuhongeka kama Mbowe.
Back
Top Bottom