Recent content by Chilumba M

  1. C

    Nani kakosea mahesabu, ni Spencer Lamek wa ITV au Rais Pombe Magufuli?

    Huna Sababu ya kuumiza kichwa na mleta hoja hakuwa na Sababu ya kuleta hoja kama hii ya kipuuzi. Cha msingi mwacheni Magufuli afanye kazi yake na kama hukumchagua kaa kimya msimuhujumu.
  2. C

    Nani kakosea mahesabu, ni Spencer Lamek wa ITV au Rais Pombe Magufuli?

    Kwani hao wote ni mawaziri? Wengine si manaibu? Swali lilikuwa mawaziri na sio mawaziri na manaibu
  3. C

    Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

    Siku zote mlikua wapi hadi mseme Leo? Kama sio udaku ni nini? Kubenea ana siasa za maji taka sana!
  4. C

    RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

    Ulianza kwa kureport vizuri, mwishoni ukaharibu! Kumbe unaushabiki ndani yake
  5. C

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Watanzania wa ajabu!! Mtu unaibia na kajitokeza Mtu anakusaidia kumkamata mwizi baadae unaanza kumtuhumu namna alivyomkamata sio!! Kwataarifa yako staili iliyobaki ya kuwakamata ni hiyo hiyo--zingine zote zilifail. Kama huna cha kuandika kwa kimya acha johnpombemagufuli na Majaliwa wapige kazi...
  6. C

    Mh. Pombe futa Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Lete ushahidi wa tuhuma zako. Me Nina marafiki kibao makabwela tu wameshaajiriwa
  7. C

    Prof Muhongo: Madiwani na wakuu wa shule Musoma, jiandaeni kupokea vitabu vya sekondari na msingi

    Kampeni za kutaka kuteuliwa uwaziri, Muhongo kazianza muda mrefu sana!! Sijuwi kasahau nini huyu Mtu!
  8. C

    Kasi ya Prof. Muhongo kuondoa umasikini Musoma Vijijini inatisha

    Nawashangaa sana watanzania kwa kusahau mapema--watu wote waliondolewa kwenye uwaziri kwa tuhuma na kashfa za kifisadi kipindi cha JK wasahau uwaziri. Alafu huyu jamaa kawapa bei gani mbona mnampa promo for nothing? Mnasahau huyu ndio alisema pesa za escrows sio za umma? Hatumtaki kama mmekula...
  9. C

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Do not afraid for the changes, accept it and find the way to coup with it--Magufuli kila la kheri tulio wengi tunakuunga mkono
  10. C

    Kikwete aingia mtaani

    Mwacheni apumzike--Tugange yajayo. Hiyo ndio democrasia, kuvumiliana.
  11. C

    Mgogoro ACT - Wazalendo: Zitto kumpindua Mwigamba?

    Taarifa haijitoshelezi!! Anataka kumpindua nini? Na tangu lini gazeti la Mawio ikaandika habari njema za Zitto? Kubenea acha siasa chafu, tumekupa ubunge ufanye kazi--punguza majungu na usianze kushambulia watu makini. Pambana na CCM na sio Zitto
Back
Top Bottom