Recent content by Chills

  1. Chills

    TARURA na Parking ya wizi

    Mfumo wao ni wa kilaghai sana, sijui sisi wananchi tunakimbilia wapi
  2. Chills

    TARURA na Parking ya wizi

    Habari za jioni wadau! TARURA na mfumo wao wa maegesho maeneo ya mijini imekuwa na udanganyifu mkubwa sana. Imetokea mara 2 naangalia kama nadaiwa nakuta deni na ukifuatilia naonesha maeneo ambayo sijawahi kwenda na nilipata fursa ya kupata msaada wa mtu wa TARURA nikaambiwa walipiga picha...
  3. Chills

    Mabaharia peke yake naomba mnipatie ushauri kuhusu huu mchepuko wangu

    Me nataka nikuhonge, tuyajenge chemba? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Chills

    Sijui niseme ni bahati au ni kitu gani hichi kinachoendelea

    Hiki ni Kiswahili cha Kisukuma Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Chills

    Tabia hii ya mke wangu inaashiria nini?

    Wanaume hatuna tabia kama zako Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Chills

    Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

    Kuna mawili hapa, aidha hana pesa au mademu wa mtandaoni wamempiga sana mpaka akili zimemrudia
  7. Chills

    Kwanini Kibonde amezikwa Dar na si 'kwao' Mbeya?

    Uache kabisa gharama za kusafirisha maiti yako, usitake kutupa mizigo ya bure. Kwani tukikuchoma moto au tukikuzika mabwepande utatufanya nini na ushakufa? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Chills

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Alisema mavi yamekuja sebuleni akaamua kukimbilia chumbani, sasa leo mavi yale yale yamemfata chumbani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Chills

    'Kupiga kofi', Huenda ikawa chanzo cha ajali nyingi Mbeya!

    Naomba nitofautiane na wewe kidogo; 1. Katika magari, kama gari ina gia 12, ndogo ni ya 12 kama ni la gia 5 basi ndogo ni ya 5. Ukubwa wa gia unaaniza kwenye namba 1 na unaendelea kushuka. Hata kwenye mfumo wa gearbox ukiangalia mpangilio kubwa kabisa ndo namba 1 na ndogo kabisa ndo ile mwisho...
  10. Chills

    Waliowahi kuacha kazi serikalini bila kuaga njooni hapa mnipe uzoefu

    Kurudi Serikalini siyo ishu, mwambie tu akaage haitamcost chochote. Hapo kinachofuata ni dismisal kwa sababu ya utoro na ni mbaya sana kwenye CV yake na hakuna ajuaye kesho atakuwa wapi na atakuwa nani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Chills

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Tunasubiri *SEHEHEMU YA TATU* Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Chills

    Mabasi na matumizi mabaya ya Air Cinditioner

    Siyo kila AC ni Air conditioner, zingine ni air cooler Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Chills

    Dunia ni gereza la roho za wafu

    Unajua ili mtu aweze kuthibisha au kuamini kile unachokisema au unachokiandika lazima uwe na chanzo. Je ni mwazo yako binafsi au umejifunza sehemu na kama umejifunza naomba kujua vyanzo vya elimu hii? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Chills

    Dunia simama nishuke

    Unajua maana ya "Dunia simama nishuke"?
Back
Top Bottom