Kisuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Ukarudi tena kuchomwa na kisuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ila kuna visu vitamuuuuuuuuuuuuuuuu
kama ulishaipata shukru sana mimi saiz huu mwezi wa pili ambacho walikifanya walinipa namba ya kampuni ambako nilikosea ndo wanairudishie mpka nimekata tamaa
############Yajayo wanafurahisha wanasema ivo...
Inaonekana unajuwa kuliko mtoa mada.....................
mimi ninachokifahamu ukiwa una VISA ya inchi mojawapo za ulaya ambayo VISA yao inaitwa
Schengen VISA , inauwezo wa kwenda inchi zote za bala la Ulaya na sio marekani ....
WANAO SIKIKA NI UPANDE MUMOJA TU? KWA NINI HIVYO?
Kiongozi wa mtandao wa wanafunzi Tanzania hajasikika akisema lolote, lakini wao wanafikili sisi ni wajinga kiasi gani? Mbona ROMA, hawakusema kajiteka?
Swali?Langu apana..
Nilitaka niseme JAMANI NAOMBA MUNIOMBEE KAMA MNAVYOMUOMBEA RAIS WENU...
Ngoja nijaribu coz sijatumia Vodocom 2 years , na nilianza kutumia tena kwa sababu ya kauri za watu kama wewe sasa leo nitahama rasim nione kama nitashindwa kutumia coz mimi sina mkataba na mitandao ya simu
Mimi niliwahi kusimuliwa na mtu kuwa VODOCOM sio watu wazuri wanachelewesha reversal , nilikataa na nikamwambia mimi nikipiga simu huwa hawachukuwi muda mrefu, masaa 72 yalikuwa hayafiki napata muamala na kuna siku nakumbuka nilifanyiwa reversal within the day, Ndungu yangu kama vile niliomba na...
VODACOM
Wezi sana nimejaribu kuwafuata kwenye page yao , wananiambia huo ndo utaratibu wao , niko na rafiki yangu mumoja hapa alikosea pesa ofcoz ni uzembe lakini ilikaa wiki mbili, ukipiga simu wanongea ongea, mimi nafikili cha msingi this time naenda kuleft huduma hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.