Childhood diplomacy
Member
- Sep 22, 2017
- 38
- 15
WANAO SIKIKA NI UPANDE MUMOJA TU? KWA NINI HIVYO?
Kiongozi wa mtandao wa wanafunzi Tanzania hajasikika akisema lolote, lakini wao wanafikili sisi ni wajinga kiasi gani? Mbona ROMA, hawakusema kajiteka?
Swali?Langu apana..
Nilitaka niseme JAMANI NAOMBA MUNIOMBEE KAMA MNAVYOMUOMBEA RAIS WENU KAZI HII NI NGUMU…kwetu kunawatu wasiojulikana , muniombee nisije nikakutana nao.
Maana saizi wanakamchezo kao ukitekwa tu, wanasema umejiteka.....
Niombeeni, Niombeeni mimi mkiniobee nitawaonyesha njia hamtaanza kupotea wala kutekwa.
Niliota juzi nimeona niwashirikishe hadithi yangu.