Recent content by CHILD OF GOD

  1. C

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    Daaaaaaah ni shida,hii ni Tz.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Hongela Makonda,waswahili wanasema ukirusha jiwe gizani ukisikia yalaa ujue limempata mtu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Hii si mala ya kwanza watu kutajwa hadharani,hii naweza kusema ni falfasafa ya awamu ya 5 yenyewe inaendesha inchi kwa uwazi zaidi.Walitajwa mafisadi,wahujumu uchumi,wala rushwa,waliotumia vibaya madaraka yao wafanyakazi hewa,nk na tumeona matunda yake, saizi ofisi yoyote ukienda unanyenyekewa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Kwanza unapaswa kuelewa kwamba aliyetangaza ni rais wa mkoa pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa,kwa maana ya kwamba hatma ya usalama ya wananchi wa mkoa ipo mkononi mwake uhalifu unapozidi yeye ataonekana mkoa umemshinda na wewe utakuwa wa kwanza kumlaumu as long as vyombo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    TANGIA MAKONDA UWATAJE DRUG DEALERS HADHARANI UMENIPA KIBARUA CHA KUKUOMBEA,NAUNGA MKONO JUHUDI HIZO USIOGOPE MKONO WA MUNGU UPO JUU YAKO.MUNGU ANATAFUTA MWENYE HAKI MMOJA ATAKAYESIMAMA MAHALI PALIPOBOMOKA,
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nini tatizo letu kama Taifa? Tunajikwamuaje?

    TUNAHITAJI MUDA WA KUJIPANGA PIA INABIDI TUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI YAKUTUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO.
  7. C

    JamiiForums Tanzania BRAZIL: Mtanzania, Felix Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 katika Marathon za Olimpiki

    HONGELA KWAKE,KAJITAHIDI.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    BIBLIA ndiyo kitabu pekee kilichobadili maisha yangu ambacho natamani kila mtu akisome, kabla ya hapo nilikuwa na maisha ya mashaka mashaka sana;mfano mke wangu alikuwa kila mimba anayopata mtoto anazaliwa akiwa mfu, watu walianza kutucheka na kutusema vibaya, lakini kitabu hiki { BIBLIA }...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

    UMEFAFANUA VIZURI
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupanga bajeti ya mwezi, nifanye nini ili niweze?

    KUPANGA NI KUCHAGUA, USIFANYE YOTE YANAYOTAKIWA KUFANYWA BALI FANYA YENYEULAZIMA WA KUFANYA & KUMCHA BWANA NDIYO CHANZO CHA MAHARIFA.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    ni kweli lakini wizara ya mambo ya ndani ni nyeti zaidi manake usalama ukiwa "F" hakuna atakaelima wala kufanya chochote, si umesikia Tanga watu wameyahama makazi yao kwa kuhofia usalama wao.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    hiyo ni kweli, na hii inatokana na ukweli kwamba usipofata ama kuzingatia matakwa ya chama unaweza kupoteza nafasi ya uongozi hata kama wananchi wanakupenda.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Na hii itakuwa ajabu zaidi.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Da..................Inasikitisha kama taifa linakuwa na wasomi wa namna hii.Kurudi siyo tatizo lakini alipaswa atoe hoja zenye mashiko kushawishi uma ukubaliane na swala la yeye kula matapishi yake, kabla hajatoka aliita press conference na kutoa sababu kadhaa za yeye kufanya maamuzi kama yale...
Back
Top Bottom