Recent content by chikwakala

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kudownload App yoyote kutoka play store

    Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu nashindwa kuelewa ni nn kimetokea kwenye simu yangu kwan siwezi tena kudownload Application yoyote badala yake naandikiwa download pending mda wote hadi naamua kucancel. Data zipo
  2. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko Lindi nataka kuja Moro mwl secondary
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Hivi nilisikia kuwa prof: Mwamfupe siku hizi ni diwani
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop aina ya dell cursor kuganda kila ninapochomeka adapter.

    Kwa hiyo nibadilishe adapter
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop aina ya dell cursor kuganda kila ninapochomeka adapter.

    Naombeni msaada kwa mwenye uelewa na jambo hili kila ninapochomeka adapter ili niweze kucharge huwa cursor inaganda na ninashindwa kuendelea na kazi hadi pale inapojaa na kuichomoa kwenye moto ndipo niendelee na kazi.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

    Iringa mna office?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apingwa, ni kuhusu kutumbua majipu

    Mpaka sasa upinzani umepwaya sana maana hivi karibuni walisema JPM anafanya waliyokuwa wanataka Leo wamegeuka tena duuuuu! Kwaheri lisu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tumbo kuuma ninapolamba asali

    Asali ya nyuki mkuu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tumbo kuuma ninapolamba asali

    Mara nyingi nikilamba asali huwa tumbo linauma sana nashindwa kuelewa tatizo ni nini msaada kwa aliye na uelewa wa tatizo hilo.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    OK poa uliinunulia sumbawanga
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    Mkuu ina uwezo wq kusaga tan ngapi kwa siku
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuifanya simu yangu ya Voda ipokee Laini ya Airtel

    Ina maana hadi tuonane
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuifanya simu yangu ya Voda ipokee Laini ya Airtel

    Mkuu nikuombe msaada pia model HUAWEI Y330-UII Imei 863963027142998
Back
Top Bottom