Msaada tumbo kuuma ninapolamba asali

chikwakala

Member
Aug 17, 2014
28
6
Mara nyingi nikilamba asali huwa tumbo linauma sana nashindwa kuelewa tatizo ni nini msaada kwa aliye na uelewa wa tatizo hilo.
 
Wanadai ndo huwa inafanya kazi, siunajua ina kazi nyingi mwilini hasa ile yenye masega yake.Usilambe nyingi sana pia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom