Msaada laptop aina ya dell cursor kuganda kila ninapochomeka adapter.

chikwakala

Member
Aug 17, 2014
28
6
Naombeni msaada kwa mwenye uelewa na jambo hili kila ninapochomeka adapter ili niweze kucharge huwa cursor inaganda na ninashindwa kuendelea na kazi hadi pale inapojaa na kuichomoa kwenye moto ndipo niendelee na kazi.
 
Adaptor yako ina matatizo. Tatizo hilo linasababishwa na umeme unaotoka kwenye adaptor kuwa na NOISE, yaani haujachujwa ipasavyo au Unakuwa kama una FREQUENCY au VIBRATION. Tatizo hilo lipo pia kwenye computer za desktop unapotumia UPS zenye malfunction.
 
Kwa hiyo nibadilishe adapter

Kwanza chukua hiyo hiyo adaptor nenda nayo na laptop ukaitumie mahali pengine tofauti na huo umeme uliokuwa unautumia kama ni nyumbani ondoka nenda nayo mahali pengine. Ikijirudia tena tafuta adaptor nyingine ujaribishe.
 
Back
Top Bottom