Recent content by chikuntila

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo

    Tasisi ya Billia investment and sports inahitaji maafisa michezo na burudani wawili. Sifa wawe na michezo au burudani kutoka chuo chochote, barua na vyeti vitumwe kupitia chambobillia@yahoo.com. Mwisho tarehe 13/7/2014.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Majeraha ya risasi ya Mwandishi Ufoo Hayamfanyi asiwe mshukiwa

    :lying:Walikuwepo mashahidi karibu 700 kwenye tukio vinasaba vya nini?wamekuta pingu,panga,kamba etc kwenye gari lake,hiyo vinasaba aka DNA ya nini,ujue ni hela yako ya kodi ama ya walipa kodi,cost zingine za nini?kesi iko wazi kabisa,:lying: ashitakiwe nani kwa sababu muaji ameshafariki
  3. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Viongozi wa vyama vya siasa wakutana na Rais Kikwete Ikulu leo; CCM ndani ya Nyumba

    Watanzania wenzangu mtu akivaa vizuri na kutembelea gari la thamani tunamwita fisadi,akivaa kawaida na akitumia usafiri wa kawaida tunamkejeri na kumuita mshamba,tuta fika?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Is honey the new gold in tanzania?

    dear members of jf bee keeping in tanzania has been highly practised for many years, however since prime minister Mizengo Pinda came into power, hapiculture is now more emphasized,please i want to know whether honey is the new gold in Tanzania how much price per one litre/kg of honey or wax?
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka hana uwezo wa kutia mimba..... Shemeji anataka nimtie mimba.... (true story)

    kipi bora atoke nje ya familia, au atoke nje ya mumewe wa ndoa lakini awe ndani ya familia hiyo hiyo? Hata hivyo kuchangia mapenzi inauma moyo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Barua za watumishi wa umma wanaotakiwa kupata vyeo vipya vya muundo bado?

    Jamani habarini naomba kwa yeyote anayefahamu lini barua za watumishi wa umma wanaotakiwa kupata vyeo vipya vya muundo zitatoka lini? Maana imepita miezi mitatu tangu mwaka wa fedha 2013-2014 uanze,
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi G/mboto

    Huu ujinga wa kupiga mabomu watoto wetu hivi hao polisi hawana watoto? Usikute baadhi yao wana watoto wanaosoma hapohapo lakini watafuata amri bila kujishauri. Hivi matuta hadi tuandamane ndio Manispaa wanajua kuwa eneo hilo lina shule? jana ilikuwa Mbagala kizuiani, leo G/ Mboto jamani uhai...
  8. C

    JamiiForums Tanzania LEMA NA NASSARI: Nawaomba wekeni msaada kwa hili pls

    kweli inauma sana, kwenye hoja hii ya msingi naomba tuweke uchama na udini pembeni, tuangalie namna ya kuwasaidia wahanga wa tindikali.maana kama ujui kufa tazama kaburi,je pandri Mwang'amba, sheikh Solaga,yule mfanya biashara na matinti wawili wa Kingereza hali zao zikoje? tumewashindwa magaidi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania wezi waiba kuku wote ikulu ndogo Mbinga

    wameiba kuku wangapi hao kuku ni wanani? nimesikia kwenye gazeti moja waliruka ukuta licha ya kuwa na ulinzi mkubwa.watu wamechoka wakati vigogo wanakula vitu vitamu kwanini wasiwafuate hukohuko!
  10. C

    JamiiForums Tanzania watumishi wa umma wanaopanda vyeo vipya watapewa barua lini?

    habari zenu wanajamiiforum, ninafurahi sana kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza na ninaamini sitajutia kwa uamuzi wangu wa kujiunga nanyi, pamoja na hayo ninaomba kujua barua kwa hajili ya watumishi wa umma wanaopanda vyeo vipya mwaka huu wa fedha wa 2013-2014,zimetolewa au zinatolewa lini?
Back
Top Bottom