wezi waiba kuku wote ikulu ndogo Mbinga

wezi waiba kuku wote ikulu ndogo Mbinga

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
825
Reaction score
161
wezi wasiofahamika wameruka ukuta nakuvunja chumba cha kuku na kuiba kuku wate kwa DC Mbinga ,ikumbukwe kuwa nyumba hii ni ikulu ndogo na inalindwa na polisi wenye silaha, hakuna anayeshikiliwa,kama ikulu inavunjwa na kuibiwa sisi uswahilini itakuwa majanga matupu
 
Sasa nae alikua anafuga kuku wa nini ikulu..
 
wameiba kuku wangapi hao kuku ni wanani? nimesikia kwenye gazeti moja waliruka ukuta licha ya kuwa na ulinzi mkubwa.watu wamechoka wakati vigogo wanakula vitu vitamu kwanini wasiwafuate hukohuko!
 
yani ikulu inafugiwa kuku? kuna siku tutasikia na majini yanafugwa huko.
 
Uko sawa
wameiba kuku wangapi hao kuku ni wanani? nimesikia kwenye gazeti moja waliruka ukuta licha ya kuwa na ulinzi mkubwa.watu wamechoka wakati vigogo wanakula vitu vitamu kwanini wasiwafuate hukohuko!
 
wezi wasiofahamika wameruka ukuta nakuvunja chumba cha kuku na kuiba kuku wate kwa DC Mbinga ,ikumbukwe kuwa nyumba hii ni ikulu
ndogo na inalindwa na polisi wenye silaha, hakuna anayeshikiliwa,kama ikulu inavunjwa na kuibiwa sisi uswahilini itakuwa majanga matupu
Wamekamata fursa na kwenda zao hao wezi "kamata fursa twenzetu"
 
Back
Top Bottom