Mabomu ya machozi G/mboto

Mabomu ya machozi G/mboto

Kingo

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2009
Posts
856
Reaction score
395
Mabomu ya machozi yanapigwa hapa G/mboto, baada ya wanafunzi wa shule ya msingi kufunga barabara wakishinikiza kuwekwa tuta, kwa madai ya kugongwa mwenzao.
Bomu la kulipuka halipigwi picha!
 
Mabomu ya machozi yanapigwa hapa G/mboto, baada ya wanafunzi wa shule ya msingi kufunga barabara wakishinikiza kuwekwa tuta, kwa madai ya kugongwa mwenzao.
Bomu la kulipuka halipigwi picha!

Huu ujinga wa kupiga mabomu watoto wetu hivi hao polisi hawana watoto? Usikute baadhi yao wana watoto wanaosoma hapohapo lakini watafuata amri bila kujishauri.

Hivi matuta hadi tuandamane ndio Manispaa wanajua kuwa eneo hilo lina shule?
 
Tupe detail za kutosha tukio limetokea eneo gani hasa na chanzo ni nini kilichopelekea wanafunzi kufunga barabara lakini Je! Ni wanafunzi tu peke yao ndiyo walioshiriki kufunga barabara au kuna wasio wanafunzi wa meningitis kuungamkono?
 
Tupe detail za kutosha tukio limetokea eneo gani hasa na chanzo ni nini kilichopelekea wanafunzi kufunga barabara lakini Je! Ni wanafunzi tu peke yao ndiyo walioshiriki kufunga barabara au kuna wasio wanafunzi wameingilia kuungamkono?
 
Huu ujinga wa kupiga mabomu watoto wetu hivi hao polisi hawana watoto? Usikute baadhi yao wana watoto wanaosoma hapohapo lakini watafuata amri bila kujishauri.

Hivi matuta hadi tuandamane ndio Manispaa wanajua kuwa eneo hilo lina shule?

jana ilikuwa Mbagala kizuiani, leo G/ Mboto jamani uhai wa mtu hauna sipea. adhabu kali zaidi kwa wanao sababisha ajali
 
chanzo ni mtoto wa shule kagongwa na gari, haipiti wiki lazima mwanafunzi agongwe. Hapatamaniki huku ni full mabom
 
Back
Top Bottom