Recent content by Chigwiyemisi

  1. Chigwiyemisi

    Watumiaji wa NETFLIX naomba msaada tafadhali

    Wakuu heshima sana! Tafadhali naomba msaada wa jinsi ya kufanya malipo kwenye netflix. Awali sikuwa na shida na nilitumia VISA card kujisajili kwa ajili ya malipo. Baada ya VISA card ku-expire nikapewa mastercard. Lakini nikitaka ku-update payment kwa kuingiza namba mpya za kadi yangu ya...
  2. Chigwiyemisi

    Ushauri: Chuo kizuri cha Engineering India

    Nashukuru sana. Ngoja nimtafute
  3. Chigwiyemisi

    Ushauri: Chuo kizuri cha Engineering India

    Wanajamvi heshima mbele. Naomba kujua kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu vyuo vya India vinavyotoa Degree ya Engineering (Civil) na makadirio ya gharama zake. Nina binti yangu nataka nimpeleke huko. Naomba pia kwa anaejua anishauri njia rahisi za kuomba nafasi na pia ubora wa elimu yao. Nawasilisha
  4. Chigwiyemisi

    Gari carina TI inahitajika

    Mimi pia nahitaji. Nakubali hata rangi ya Silver kasoro nyeupe
  5. Chigwiyemisi

    "Maagizo Kutoka juu" Yapata Tiba, Heko Wanasheria

    Nimekuona Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Chigwiyemisi

    Ushauri: Biashara ya duka la pembejeo za kilimo

    Wadau habari zenu. Niko Arusha, nataka kufanya biashara ya viwatilifu/pembejeo za kilimo. Naomba msaada kwa anayejua Suppliers na mbinu za hii biashara. Mtaji ni mdogo kwa hiyo sio biashara kubwa kivilee.
  7. Chigwiyemisi

    Msaada tafadhali: Biashara ya pembejeo za kilimo

    Wadau habari zenu. Niko Arusha, nataka kufanya biashara ya viwatilifu/pembejeo za kilimo. Naomba msaada kwa anayejua Suppliers na mbinu za hii biashara. Mtaji ni mdogo kwa hiyo sio biashara kubwa kivilee.
  8. Chigwiyemisi

    Tukio gani la kisiasa hutolisahau mwaka huu wa 2015?

    Mgombea urais kupiga push-up jukwaani
  9. Chigwiyemisi

    Mgogoro wa Zanzibar: Wasiwasi dhidi ya vikao vya Maalim Seif

    Ndio tatizo lenu panzi wa kijani. Anatafuta suluhisho kutoka kutoka kwa watu waliotengeneza tatizo kwa makusudi. Kama wangekuwa wanajali haki kusingekuwa na mgogoro huo tunaouzungumzia.
  10. Chigwiyemisi

    Mgogoro wa Zanzibar: Wasiwasi dhidi ya vikao vya Maalim Seif

    Nimekuelewa. Ni vizuri basi awe analeta mrejesho wa vikao vyake, vinginevyo hao Wazanzibar asilia wanaweza kuanza kupata wasiwasi dhidi yake
  11. Chigwiyemisi

    Mgogoro wa Zanzibar: Wasiwasi dhidi ya vikao vya Maalim Seif

    Hii sijawahi kuisikia mahali popote mkuu. Labda lile la Maalim Seif kujitangaza mshindi.
  12. Chigwiyemisi

    Mgogoro wa Zanzibar: Wasiwasi dhidi ya vikao vya Maalim Seif

    Mkuu uchochezi uko wapi hapo? Kwa nini kila anayehoji masuala ya haki mnamwita mchochezi? Suala ni kumtahadharisha Maalim Seif awe makini na asikubali kurubuniwa. Au wewe akirubuniwa ndio unaona haki imetendeka?
  13. Chigwiyemisi

    Mgogoro wa Zanzibar: Wasiwasi dhidi ya vikao vya Maalim Seif

    Too low! Unaongea maneno ya kukaririshwa. Soma vizuri hapo juu, hakuna sehemu niliyoshawishi vurugu. Tatizo mmezoea vya kunyonga.
Back
Top Bottom