Recent content by chigwiye

  1. C

    JamiiForums Tanzania Music Recording Studio

    Hivi akina Pfunk,Man walter na kina pancho wamesomea sound engeneer? Au Mrema wa precision air amesomea urubani? anyway si lazima nifanye mwenyewe, naamini wapo wataalamu ila hawajajaliwa kupata funds za kuanzisha studio zao
  2. C

    JamiiForums Tanzania Music Recording Studio

    Nafikiria kuanzisha Music recording Studio, wataalamu nisaidieni nahitaji kuwa na vitu/equipments gani kufanikisha hili? Na naweza vipata wapi Dar es salaam hii?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Kuna scenarios hapa zinazofanya CHADEMA kuonekana inafanya vizuri, achilia mbali ukweli kwamba CDM ina - accelerate na CCM ina deccelerate, ama lugha nyingine ni kusema CDM wameshinda at an increasing rate na CCM wameshinda at a decreasing rate.Hii bado ni nzuri kwa CDM na ni Mbaya kwa CCM...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Kuna scenarios hapa zinazofanya CHADEMA kuonekana inafanya vizuri, achilia mbali ukweli kwamba CDM ina - accelerate na CCM ina deccelerate, ama lugha nyingine ni kusema CDM wameshinda at an increasing rate na CCM wameshinda at a decreasing rate.Hii bado ni nzuri kwa CDM na ni Mbaya kwa CCM...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba

    Sijui shida ni nini Angel, yanatokea sana,sijui wanafunzi wanalogana!!! am confused
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba

    Asante king'asti, nmepata PM yako pia.Nitafanya sawa na ulivyoshauri
  7. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba

    Asante jotojiwe, nakubaliana nawe.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba

    Jamani Ka-uncle kangu kanasumbuliwa na ugonjwa ambao mpaka sasa haujajulikana mahospitali, vituo vya maombi tumemaliza, nashawishika kuhamia tiba mbadala za asili na jadi.Mwenye kujua mganga yeyote mwenye uwezo mkubwa kutibu matatizo mbalimbali tafadhali msaada.Hata hivyo sijapoteza imani ya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

    Mmmmh! Wagogo wametawala, Tonny mavunde, deo ndejembi, mboni mhita.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    Abdul 28, Farid ni raia na mwanajeshi wa huko na alifukuzwa jeshini na nchini kwa uchochezi wake kakimbilia TZ mkoani Zanzibar tumempokea, kaanza fujo zake unataka tukae kimya. Sina shaka na uwezo wako wa kifikra kwamba ni mdogo sana. Unasema watz wengi wako arabuni na wanasema ni wazenj ili...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe acha siasa bandarini, unaua uchumi wetu

    Acheni mwakyembe afanye kazi, mmeshaona anafichua uozo wenu mnahisi mtatimuliwa.Msilete blablaaa hapa.Chapeni kazi kuokoa uchumi wetu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Need a parttime accountant in Morogoro?

    In case you are in need for a part time accountant, here i am. I am employed already and would like to utilize my full capacity. I am a DBA,an ADA,PGDBA-Finance holder, with 4yrs of experience in the field of accountancy & finance. For any enquiry call 0765829257
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada plz..

    Hahaaa! umeapply jana, leo umetumiwa terms fo engagement. shiiiiiiit, kimbiaaaa
  14. C

    JamiiForums Tanzania Pls,naomba kujua yupi tuition provider mzuri wa Module E & F CPA(T) DAR

    Somo tajwa hapo juu lajieleza, nataka nijiandae kwa sitting ya May 2013.
  15. C

    JamiiForums Tanzania CCM yavuruga MIPANGO yake

    Nina shaka kuu na Mzee TUPATUPA.Anataka kuteka akili za watu humu na hana lolote.Nitafuatilia nitakaporidhika si intelligensia
Back
Top Bottom