Recent content by CHIF

  1. C

    JamiiForums Tanzania Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Jaman msishangae kuona post kama hizo,watu wana stress za maisha baada ya chuo,so jamaa anapunguza stress; Kwa fact ambazo ziko wazi na ztadumu kuwa hivo ni kuwa UDSM inachukua div 1&2 pekee kwa B.A education na div 1,2,3 kwa B.S education,na hao wote lazma awe na Credit 5 za o'level,yaan C...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Dah! Amazing flan hivi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tarehe Ajira za Walimu

    Ajira ztatoka tu wala msijal walimu,mwaka huu ni wenu nkimaliza 2015, hata wakiwaajiri wa 10 cio mbaya,wala hamhitaji kuulizia sana,it's your chance ee
  4. C

    JamiiForums Tanzania Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?

    Shida kweli,na mtaisoma namba
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya temple nifundshe

    Fungua tuition centre itazid hats tempo unayoitafta
  6. C

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Elimu

    Dr Magong'o SOED anafaa Sana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa zilizopo kati ya John Pombe Magufuli na Edward Ngoyai Lowassa

    EFA itakusaidia naona unayoyaelezea hyaelewi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa zilizopo kati ya John Pombe Magufuli na Edward Ngoyai Lowassa

    EFA ndo itakusaidia mleta post unayoyasema naona huyaelewi
  9. C

    JamiiForums Tanzania QT,jaman kulikoni????

    wadau habari za muda huu kwa yeyeto anayejua jinsi ya kusajili kituo cha QT naombeni anisaidie procedures! natamani Jamii yetu ipate elimu kadri tuwezavo kuitafta! naomba mnipe vigezo pia vinavohitajika na ngazi husika za kuzifuata juu ya swala hili.. KARIBUNI
  10. C

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu DUCE

    hivi DUCE ndo nn? mm najua UDOM na UDSM
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

    mtakaa tu maana hizo n kelele za chura so hazimnyimi tembo kunywa mahi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa sisi arts takers

    uhasib,ualim,mazngra,law,tax, ww ni marketable wala uciogope
  13. C

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    acheni kutuweka roho juu,mbona cion au mm nko analogia nn
  14. C

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza alikuwa mwalimu, wewe unayedharau walimu haujui nchi hii tumeitoa wapi

    Hakika walimu mnasitahiri pongezi kwa uvumiliv na hekima, kna babu aliniambia,"mjukuu wangu mambo mazri yana subira yake",siku hiyo nilikuwa namwambia nioe hku nna miaka 15,alikataa katakata akasema,Haki yako yafaa sana lakn maandalizi yaa upande wa pili badooo,kwahiyo walimu ni taifa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaweza kujiajiri

    mtoa mada yko safi sema ni muda upi MTU unafaa kumuonyesha mambo hayo,not now maana watu wako kwenye peak ya mtazamo chanya na unsbiliwa kwa hamu
Back
Top Bottom