Mtambuzi Kiongozi.. [emoji120]
[emoji841] Nimesoma vizuriii kesi hiyo na hukumu pia
[emoji841]Pongezi kubwa sana kwako, kwa uandishi mzuri ulio tukukaaaa.
[emoji841] USHAURI[emoji841]
Nitoe tuu ushauri pia, ujikite ktk uandishi wa vitabu...hasa vya kufundishia watoto wetu mashuleni.
Tulitangaziwa na Idara husika TCRA
Kuwa ifikapo Tarehe 01.04.2021 viwango vya tozo ama mda wa maongezi na Internet vitakua vimeshuka... Tofauti yake ni kwamba, vimepanda kuliko ilivyo kuwa Awali. Bora ingeachwa vileeee vileeee tuuuu. Naona ilikuwa siasa.. [emoji2760][emoji2760]
#Where are we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.