Uongo uongo udongo ni bure Hauuzwi, Huwa najiuliza sijui kwanini mtu unaamua kukaa chini kuandika uzi wa uongo au Labda nawewe ulidanganywa basi Andika kitu ambacho una uhakika nacho
Faida moja kubwa ya kuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani ni kama Mchungaji au sheikh hata ukibaka hadharani waumini wako watasema ni mipango ya shetani 😀😀 ibada njema inaanzia nyumbani kwani shida nini ukifanywa huo uchunguzi??? Kama mtu hana hatia si itajulikana
hii bongo ngo’0mbe ni wengi kuliko watu nyie hamjasalitiwa na jeshi mlidanganywa na kuingizwa cha kike na dada enu mange nanukuu maneno yake ya uongo na utapeli
“Jeshi lipo Pamoja na nyie polisi pia wapo Pamoja na nyie” Leo mnatoa lawama jeshi limewasaliti lini mlikubaliana nalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.