Manzi mmoja wa Masaki Bakhresa Sister du kala kama 20 tu ya Vocha basi nimesalandia kama mwezi nikaomba outing kadai pesa ya usafiri nikamtumia boda,
Chakula ohoooo! Mara nile pesa nitashopping saivi nimeshiba, basi mnyamwezi 50 ikadhibitishwa m-pesa Direct nikaomba Show mara nipe 100,000/=...
ASE MR NEWTON NINA WASI WASI NA MAELEZO YAKO INAWEZEKANAJE UMEMALIZA FORM 4 HUNA KAZI UPO TU BILA MISHE UNAPEWA 500,000/= UNACHOMOA KIRAHISI? JE HAPO OFFICEN HAPAKUWA NA MUHUDUMU, HAPAKUWA NA WATEJA, HAPAKUWA NA HATA CLIENT SERVICE? NAOMBA NIKUHOJI VIZURI?
Ase mimi niliwaona mlipo kuwa mmekaa Mwanaume mweupe ulikosea kuanza kuhudumia kabla haujawa na uhakika wa kupata "papuchi" Jifunze next time kuwa na na uhakika kama utafokoa ndio unaanza huduma, Umesahau kusema ( ULIKUWA UMEISHA LIPIA CHUMBA )
Mkuu make spy maana kutokana na maelezo yako itakuwa kunamaneno kuambiwa yaweza kuwa mambaya juu yako ama kuna dume limemkunja kipindi umesafili dume likamjaza sumu ama show za dume zilkuwa za kishindo " pengine wewe sikuzote ni mpapasaji " Ushauli fanya uchunguzi kwa kina .
Tukutane Wapa walio kosa usingize kwa upande wangu nimenyimwa Game sasa na usingizi wote umekatika nimekuja hapa nikutane na mabaharia wenzangu tubadilishane mawazo,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.