Recent content by chief m

  1. C

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Dr. Slaa kwa maswali ya watanzania, Julai 2011

    Swala la uvunjifu wa kanunu za chadema ccm wanaingiaje? Serikali ifanye hili ifanye hili nauliza lile la madiwani kuvunja kanuni ama katiba ya chadema yanahitaji serikali ya ccm? Unajua mazoe mabaya tusipoangalia kuna siku kiongozi utaambiwa mke wako mjamzito then useme this must be CCM
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

    Hivi ni kuipenda chadema au bundi ni bundi tu hata awe mti mrefu? Lisu na lema hawana hadhi ya kuwa wabunge, walistahili wawe viongozi wa makuli bandarini au viongozi wa wafyatua tofali, bunge ni semu ya kutumia akili zaidi kuliko nguvu na jaziba zaid. Wajueni watu kabla hamjashabikia, lissu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania January Makamba kutua Igunga Jmosi hii

    Unaetathimi moto wa chadema kwa sasa igunga umetoa ball possession ya timu kwa mechi ambayo hata timu hazijaingia uwanjani, chadema wamepita huko ccm hata hawajafika uwanjani unasema possession ni 80 yaani wako pekee yao wana 80 percent subiri timu ziingie uwanjani. Najua itawaudhi ila ni kwamba...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Madiwani watano CHADEMA waomba radhi

    Mnasifia nini hapo? Slaa alikupuka na kutoa vitisho bila kujua umaarufu wake umesimamiwa na kusemewa vizuri na madiwani. Alisema atawafukuza. Hao walioomba radhi hata hawakushitakiwa mnamdanganya nani waliotishiwa wote wamesimama imara kauli yao wanamtaka slaa atoe ushahidi wa yale...
  5. C

    JamiiForums Tanzania CCM kuiba kura Igunga?

    Kulia ni jambo geni kwako hata kwenye mapenzi watu hulia
  6. C

    JamiiForums Tanzania CCM kuiba kura Igunga?

    Anayedhani kuna kura ziliibiwa ni mwendawazimu tu na hana kumbukumbu, tazama CCM ilikuwa na sababu gani ya kuiba wakati hata sehemu ilikopoteza waliopiga kura ni wana CCM. Acheni utetezi kabla hata mchezo kuanza. Tafuteni kingine IGUNGA ni ya CCM.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa vipi siku tatu hazijaisha

    Amewagwaya alipotamka alisahau hayo? Awatimue aone kama moto haujamwakia
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nape aogopa kutia mguu Arusha

    Nape, NApe? Hamna kazi ya kufanya? Bangi zenu zimewasababishia mfikiri kwa kamasi badala ya ubongo, na atakuja arusha sasa tuone kati CCM na hiyo NGO nani mwenye nchi. Uwendawazimu huu umenichefua sana. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumkamia mtanzania mwenzake hata hujajua anakuja kuongea nini
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi yaja Tanzania

    Pakichafuka unaweka wapi makamasi yako, unaroho mbaya kuliko shetani, eti unaombea matatizo zaid
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi yaja Tanzania

    Wendawazimu ninyi mlinyonya wiki ngapi? Mtu aliyenyonya vizuri hawezi kufurahia machafuko. Mbona mnafikiri kwa kutumia kamasi?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapwaya sana kama kiongozi wa upinzani

    Ni kweli mbowe hakujiandaa, angejiandaa angebadili swali. Unapewa penalt unapiga nje refa anasema rudia muda huo huo unapiga nje tena na bado unajiita profesional
  12. C

    JamiiForums Tanzania Malawi wamelianzisha je na sisi tulianzishe?

    Mnakula nini mpaka ubongo unageuka kuwa kamasi? Ungekuwa na ubongo wa kawaida huwezi ukafikiri kwa kutumia kamasi kuwa eti kuna machafuko mahali fulani nasi tuanzishe, a shame to you. Tumia akili kama ni pepo la kuandamana nenda kaombewe
  13. C

    JamiiForums Tanzania Malawi wamelianzisha je na sisi tulianzishe?

    Mwendawazimu wewe, laiti ungeipenda Tanzania hungekuwa na wazo la kuchochea machafuko ndani ya nchi yako. Do you know the exact cost. Mawazo yako ya kiubinafsi na ulafi wa madaraka. Huyo unayemhangaikia awe Rais mmeo na kama ni mmeo sio mwite rais muwapo kitandani? Kwani lazima aende ikulu? Look...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Kuna uwezekano mkubwa ataongoza Katibu wa UVCCM Martin Shigela au mtunza Hazina wa Chama Mwigulu Lameck Mwigulu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Tegeta na uongo wa hadharani dhidi ya CHADEMA

    Mimi niliyeshudia huyo mtu sio kilaza na anao uwezo wa kusema kwa hisia na mpaka kuwafanya watu wapokee hotuba kwa hisia kali, hayo maneno ulioordhesha aliyoyasema yamepokelewa kwa hisia kali kuliko ulivyoyaelezea hapo, watanzania wengine nadhani unawafaham, mpaka anamaliza hotuba walikuwa...
Back
Top Bottom