Recent content by chief in commander

  1. C

    JamiiForums Tanzania Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

    Samahani Jamani mpaka kesho Naona mkemia baada ya kupima dam sijui anapima nini
  2. C

    JamiiForums Tanzania Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

    Mie hapa napita tu Ila tetesi nasikia mkemia mkuu hajamaliza vipimo vyake kwa masogange amewambia wamwachie kwake mwaka kesho atawapa jibu kama anatumia au laa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Africa(AU) apiga marufuku Mawaziri kuwawakilisha marais kwenye mikutano

    IGP wa AU kamata mwenyekiti weka ndani analeta uchochezi
  4. C

    JamiiForums Tanzania TRA Yakusanya Sh Trilioni 8.42 Kwa Miezi Sita

    Zinakusanywa hizo kwajili ya maendeleo ya mwaka 2020 Wadau wanaweza wakauuchuna bure lazima awe standaby
  5. C

    JamiiForums Tanzania China yajitoa rasmi ujenzi wa reli nchini, yadai Mkopo ilioutoa ulikuwa ni wa upembuzi yakinifu

    Jamani msimuonee rais wetu anajitahidi atutunzie Mali asili zetu zisiibiwe Go go go magufuli bora wewe uwe maskini kuliko wananchi wako wadharirike tunakutegemea ushindwe
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, kwanini unapenda kututisha wananchi wako?

    Maelezo yatamfikia na mungu anaweza akampa busara Yaani mpaka watu wazima wakimsikia mhhh rais kwenye tv tu mikojo inawatoka
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wengine wametajwa, wengine wamefanywa siri, haki na usawa viko wapi hapa?

    Hapa dawa apelekwe ukuu wa mkoa kagera huko akarowe vumbi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wengine wametajwa, wengine wamefanywa siri, haki na usawa viko wapi hapa?

    Ndio atuambie sasa kwanini shule zimefeli kupitiliza ule muda wa kukaa na kubwabwaja kuhusu wala unga si angepitia kila shule akawape majibu waweze kufaulu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wengine wametajwa, wengine wamefanywa siri, haki na usawa viko wapi hapa?

    Kishambiwa huyo tuliza kiherehere miji kama hii inawenyewe sawa mdogo wetu
  10. C

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Safari ya Makonda New York, Marekani iliyohojiwa na Musukuma na Mlinga bungeni

    Ebu acheni fanyeni yenu maana mnahooji mwisho wake mtageuziwa topic mnasahau ya madawa na kama hamuamini tulieni
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

    Kondakta akimtaja basi nchi nzima tsunami kwenye jumba jeupe habaki mtu magu ataanza uteuzi upyaaaaaaa
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

    Poleni sana baba alivoondoka na yeye akizidi kujikita ktk system ya a sera kali
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

    Kinondoni ndio ilikua kinara kwa udhulumat wa viwanja je hizo skendo hazipo ila zilizimwa kwahio hapo konda hachomoki
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

    Huyo kijana yupo ktk system ya serikali jina lake likitajwa mnataka simba dume angurume msoga patakua hapakaliki hata huyo kondakta nae anayake kipindi cha DC
Back
Top Bottom