VIDEO: Safari ya Makonda New York, Marekani iliyohojiwa na Musukuma na Mlinga bungeni

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,884
Hii ni ya New York marekani zinakuja alizofanya nchi nyingine baada ya hapo

Kumbuka: kuna amri toka juu iliyokataza safari za nje labda utumie hela zako mwenyewe na kibali lazima kitoke kwake. Je mkubwa aliuliza nauli na matumizi yametoka wapi
 
Attachments

  • 16702799_456985578024663_340754175459590144_n.mp4
    3 MB · Views: 161
Mh. KL. Magufuli, Ulikataza Viongozi wote wa Serikali, wasisafiri ila kwa Ruhusa yako. Na hata wakati Fulani ukalazimisha waliokuwa wamelipwa tayari fedha za Kuhudhuria Sherehe za Mwenge wazirudishe fedha hizo.

Sasa Je?

1) Wewe ndiye Uliyemruhurusu Makonda Kusafiri nje Nchi Tatu Mfululizo USA, Ufaransa na Uarabuni? Yes or No?
2) Je fedha alizotumia Ni serikali ilimgharimia? ni zakwake au Ni za kwako za Biashara ya Sangara?
3) Je Unampango wa Kuwapa Likizo za Ulaya na Vibali vya Kusafiria Wakuu wa Mikoa yote, Pamoja na Mawaziri wote? Yes Or No? And if No? Why Special Preference to Makonda?

Mimi na Watanzania ambao Kimsingi ndio Mabosi wako Tunataka Majibu Asap na Kama Hudhani Unatakiwa Ujibu eleza ni Kwa nini?

Thank you sir.
 
Maswali mazuri sana haya. Ni kweli awamu hii hutoki nje ya nchi mpaka kibali kutoka State House ili waone kama safari yako nje ya nchi ina umuhimu au ni "kupoteza muda na pesa tu" kama wanavyodai wenyewe na wengi hicho kibali cha kwenda nchi za nje wamenyimwa.
 
Atujibu maana ni Gharama kubwa saana ilitumika hapo Dar-NY Business Class yeye na mkewe + Accommodation+Paris, France+Dubai UAE Kama huna $200,000=Tsh Mil 500 You can't afford to spend this tour Mshahara wa RC Ni Mil 3.5 Pamoja na Marpurupu inafika Mil 4 kahudumu ofisi ya RC Kipindi cha Mwaka Mmoja Mill 4 x 12 =Mill 48 Toa Matmizi yake tufanye abaki na Mill 30 Kiasi hicho hata Utali wa Ndani Haitoshi,
Utujibu na wewe Makondakta umepata wapi pesa hiyo ya kugharamia ziara binafsi
 
Maswali mazuri sana haya. Ni kweli awamu hii hutoki nje ya nchi mpaka kibali kutoka State House ili waone kama safari yako nje ya nchi ina umuhimu au ni "kupoteza muda na pesa tu" kama wanavyodai wenyewe na wengi hicho kibali cha kwenda nchi za nje wamenyimwa.
Nakumbuka baba lizy àliwahivkukaa airport kwa masaa 8 akibgoja kibali cha kwenda ng'ambo. sivyo? au naota mm
 
  • Thanks
Reactions: mni
Sio tu ruhusa alimpa pesa kidogo ajili kupandikiza angalau kamtoto maana ni aibu kwa Wakwe mwaka 7 mtoto anajaza choo tuuuu!!!!!!
Mh. KL. Magufuli, Ulikataza Viongozi wote wa Serikali, wasisafiri ila kwa Ruhusa yako. Na hata wakati Fulani ukalazimisha waliokuwa wamelipwa tayari fedha za Kuhudhuria Sherehe za Mwenge wazirudishe fedha hizo.

Sasa Je?

1) Wewe ndiye Uliyemruhurusu Makonda Kusafiri nje Nchi Tatu Mfululizo USA, Ufaransa na Uarabuni? Yes or No?
2) Je fedha alizotumia Ni serikali ilimgharimia? ni zakwake au Ni za kwako za Biashara ya Sangara?
3) Je Unampango wa Kuwapa Likizo za Ulaya na Vibali vya Kusafiria Wakuu wa Mikoa yote, Pamoja na Mawaziri wote? Yes Or No? And if No? Why Special Preference to Makonda?

Mimi na Watanzania ambao Kimsingi ndio Mabosi wako Tunataka Majibu Asap na Kama Hudhani Unatakiwa Ujibu eleza ni Kwa nini?

Thank you sir.
 
Hapana ile ilikuwa tofauti Mkuu, aliokuwa anasafiri nao hawakuwa na visa ya kuingia huko alikokuwa anakwenda hivyo hawakuruhusiwa kusafiri hadi visa zilipopatikana baada ya hayo masaa manane.

Nakumbuka baba lizy àliwahivkukaa airport kwa masaa 8 akibgoja kibali cha kwenda ng'ambo. sivyo? au naota mm
 
Mh. KL. Magufuli, Ulikataza Viongozi wote wa Serikali, wasisafiri ila kwa Ruhusa yako. Na hata wakati Fulani ukalazimisha waliokuwa wamelipwa tayari fedha za Kuhudhuria Sherehe za Mwenge wazirudishe fedha hizo.

Sasa Je?

1) Wewe ndiye Uliyemruhurusu Makonda Kusafiri nje Nchi Tatu Mfululizo USA, Ufaransa na Uarabuni? Yes or No?
2) Je fedha alizotumia Ni serikali ilimgharimia? ni zakwake au Ni za kwako za Biashara ya Sangara?
3) Je Unampango wa Kuwapa Likizo za Ulaya na Vibali vya Kusafiria Wakuu wa Mikoa yote, Pamoja na Mawaziri wote? Yes Or No? And if No? Why Special Preference to Makonda?

Mimi na Watanzania ambao Kimsingi ndio Mabosi wako Tunataka Majibu Asap na Kama Hudhani Unatakiwa Ujibu eleza ni Kwa nini?

Thank you sir.
Ngoja nisubirie majibu hapa
 
Hii ni ya New York marekani zinakuja alizofanya nchi nyingine baada ya hapo

Kumbuka: kuna amri toka juu iliyokataza safari za nje labda utumie hela zako mwenyewe na kibali lazima kitoke kwake. Je mkubwa aliuliza nauli na matumizi yametoka wapi
Safari ya makonda imedhaminiwa na mbunge mstaafu toka mkoa wa singida. Huyo Mh Mbunge machachari anayo makazi Potomac, Maryland na New York. Makonda alifikia ktk nyumba za huyo Mbunge, na alionekana Embassy kwa kujifichaficha less than X3
 
Back
Top Bottom