Recent content by chief chineke

  1. C

    JamiiForums Tanzania CCM wampiga 'stop' RPC Simiyu kukamata waganga wanaohusika na mauaji ya Albino

    mi sidhani kama waganga wote wanahusika na mauaji ya albino hivyo kukamata waganga tanzania nzima na kuwaweka selo sio jambo la kiungwana hata kidogo kwani najua serikali ina mkono mrefu ingejipambanua kuwakamata wahusika
  2. C

    JamiiForums Tanzania Made in pakistan

    photo duka hiyo hakunaga hiyo hizo garu juu ni tani ngapi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mipango mitatu hatari ya CCM: Miwili imeshindwa; bado mmoja, huu utafanikiwa

    watashindana lakini hawatashinda
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mipango mitatu hatari ya CCM: Miwili imeshindwa; bado mmoja, huu utafanikiwa

    nipo tayari kwa heri ama kwa shari
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nashukuru kumepambazuka, usiku kucha nilikabwa nikiwa naona!

    kojolea mkaa wa moto ulale nao mchagoni huenda umekula vya watu wamekuamlia
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kasimama juu ya chupa au barabara...?.

    photo duka
  7. C

    JamiiForums Tanzania Radio One: Ally Kiba mkali

    mtu anaitwa figisu nyembo jina kama mitishamba unamlinganisha na ally kiba hahaha
  8. C

    JamiiForums Tanzania Radio One: Ally Kiba mkali

    kama mapenzi ghorofa yamejaa kariam..b.o.o
  9. C

    JamiiForums Tanzania TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    nazidi kuichukia ccm yaani wanadhani watazuia tusipashane habari wamechelewa sana na wanazidi kututiA hasira wananchi r.i.p ccmajambazi
  10. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    kitu kingine kafa na siri kubwa sana ya kifo cha baba wa taifa
  11. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    apumzike kwa amani tu kumbe alikua mzee sana hadi kikwete alikua hagusi?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

    t.i.d aache wivu wa kike
  13. C

    JamiiForums Tanzania Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

    kakwambia anashindana na dimond we vipi kwa hiyo kiba aache muziki kisa daimond
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari shilingi milioni 5?

    Yote yanawezekana kwa upendo tu ila kama ni mimi siwezi kutoa hiyo hela mabinti wenyewe wameshakua vicheche unaoa leo kesho wanaanza kukugongea kwanza mi naona utaratibu ungebadilika wanawake ndio wawe wana tutolea mahari
  15. C

    JamiiForums Tanzania Onaa maajabu....hebu fuata maagizo uone vituko.

    mambo ya kitoto.com
Back
Top Bottom