Nakuhitaji- CAZ T
Umasikini huu - John walker(RIP) & RAS LION
Mpenzi - DUDU BAYA
Fagio la chuma - FAGIO LA CHUMA
T shirt na Jeans - UNIVERSITY CORNER
Mzee wa busara - WACHUJA NAFAKA
Hakuna kulala -J NATURE
Ugali - J NATURE
Inaniuma sana - J NATURE
Ubinadamu - J NATURE
Mtoto Iddi - J NATURE
Sonia...
Usinambie siku hizi ili uwe na rafiki mpya Lazima uzingatie maslahi ya Taifa!! Mtatukataza hata kupumua kwa maslahi yenu UCHWARA hayo. Only in Tanzania
Hata kama wakifanya hivyo haitasaidia!! Mkuu wa kaya hataki na haonesho dhima ya kuruhusu watu binafsi (wakandarasi wa ndani/private) kupata kazi! Kwa maana hata hostel za UDSM zimejengwa na Taasisi ya serikali tena inasemekana bila hata ya tenda!
Nj tamaduni zetu watu wa kusini UTUACHEE!! Mimi mwenyewe nilivyotoka jando nlifanyiwa hivyo, na hawalazimishwi wenyewe ndio wanafanya ni Heshima ni utamaduni!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.