TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Hawa wazee wenu akili zao zimeshakuwa kama za watoto wadogo wakikutana wanacheza komnolela wakidanganyana iko siku wakuwa marais,kwa picha hizi tu (kutembelewa ofisini) ndio unamaanisha huo urafiki? Gwajima ana urafiki na wanasiasa wangapi wa upinzani na CCM? Seif ana urafiki na wanasiasa wangapi wa upinzani na CCM na viongozi wa kidini? Lowasa ana urafiki na wanasiasa wangapi wa upinzani na CCM? Urafiki ni lazima uwe na uhusiano na maslahi ya kitaifa? Urafiki wa Makonda na GSM na Kinje Ngombale una maslahi gani kwa taifa? Urafiki wa Magufuli na Mrema una maslahi gani kwa taifa? Urafiki wako na housegirl wa jirani yako una maslahi gani kwa taifa?
Ni kwa nini mnakujaga na hoja nyepesi hivi?au ni baada ya kujua kusoma na kuandika pekee,jiongezeni plz!
Anawadanganya wazee wa watuGwajima ametoa kweny ushega sasa atakuwa Mganga wa kienyeji