Mimi ningekuwa mhasibu wa TCRA ningeachia ngazi haraka iwezekanavyo.....haiwezekani mhasibu akashindwa kukusanya data sahihi za watumishi watatu waliopelekwa shule kwa mwaka.Hapo ni kujumlisha tu.....!
Mimi nafikiri tatizo letu ni la kiuongozi zaidi na sio kitaaluma,Ukiangalia hata mashirika mengi ya kigeni kwenye secta binafsi hakuna watanzania ambao wamefanikiwa kushika nyazifa za juu globaly,mfano katika Mabenki ya kimataifa.Huko hawahitaji tu vyeti vyako vya shule lakini pia uwezo wako wa...
So sad,hiyo inaonyesha ni jinsi gani ujambazi umekithiri katika jamii yetu.Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanakatisha watu tamaa kujiajiri kwani unajua siku moja pesa yako itakumaliza.Ndio maana Mungu anatuadhibu watanzania kupitia Ajari za magari,meli n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.