Recent content by CHIBURABANU

  1. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Tujuzane faida na hasara za kusafisha na kungarisha nyota

    Miaka ya hivi karibuni maisha yalinichapa kweli mpaka nikadhani nimeporwa nyota nini,kidogo niende kwa wasafisha nyota aloo. Nikavunga nikaa kwa kutulia tu,ila naona sa hivi Mungu. amefungulia baraka kama zote. Wasafisha nyota msini mind.
  2. CHIBURABANU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

    Whatever the case,but the truth has been reveilled.
  3. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

    Ohoo jamani,torono kakee.
  4. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Ppisi za hivi zimejaa hapo karatu hazina hata mabwana,any way kwa sababu issue imetokea mwanza basi wasukuma wanachachawa na vitu vyeupeee.
  5. CHIBURABANU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

    Babu yake aliacha malI nyingi,
  6. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Dah nchi hii hainaga fadhila mkuu,aliyebuni wimbo wa taifa au bendera ya taifa utakuta hata hawajulikani kabisa. Enzi hizo nadhani ilikuwa uzalend o kwanza kwa nchi kisha malipo mbinguni.
  7. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Kwa kweli,hili dude lilikuwa hatari zamani kabla wasauzi hawajainunua tz breweries enzi ya mkapa,walikuja na fomula mpya wakachakachua kidogo,still sio mbaya.. Hakika tunajivunia bia yetu.wabunifu wa safari lager walitoa hiyo fomula baada ya kutoka masomoni ujerumani miaka ya 70s.kina somebody...
  8. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Vengu komaa hivyo hivyo

    Hawa walimtukana mzee Mengi.laana ikawavaa.
  9. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Vengu komaa hivyo hivyo

    Na nyuki.
  10. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya haitakuja kwa kuvaa fulana nyekundu, Bavicha acheni ushamba!

    Mbowe alifungwa,kwa kesi ipi we kijana wa mgaya?
  11. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Tangu Dkt. Mwigulu aingie madarakani haya yametokea

    Tofauti ya kahaba na malaya.
  12. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Ndesambulo yuko wapi?

    unamixjebanginaugoro.
  13. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Najaribu kufutilia mafaili yote kaama kuna mzungu Peter alikuwa jela kipindi hicho,naona hapa kuna peter kamachumu,peter kalumuna,peter kahatano,peter ngaiza,peter bushoke. Ntawapa mrejesho wa hii chai.
  14. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Mhh sir God apishe mbali,dah itakuja kuwa kama mombasa sasa kule mtoto wa kiume anafungiwa ndani afu wa kike anapewa uhuru.
  15. CHIBURABANU

    JamiiForums Tanzania Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Kuanzia watatu mkuu,wanakubabanisha gizani wanakujeruhi na kukuibia.
Back
Top Bottom