Tujuzane faida na hasara za kusafisha na kungarisha nyota

Just a person

JF-Expert Member
May 16, 2022
957
1,175
Wakuu Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na hii ishu ya kusafisha na kungarisha nyota.

Wadau ebu tuelezane faida na hasara zake maana huwa sielewi ni kwa ajili ya nini usikute ni muhimu😆, Maana kuna wanaotumia masheik kwa ajili ya visomo na waganga.

Pia mnaweza kutoa connection wenye uhitaji.

Na tanguliza shukrani zangu.
 
nauza dawa ya kusafisha nyota popote mzigo utakufikia mkoani tuna tuma ..... dar Free delivery matokeo ndani ya siku 7 .... natabiri ... wahi chap
 
Wakuu Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na hii ishu ya kusafisha na kungarisha nyota.
umetokea kijijini wewe, haya mambo mbona ya kitambo sana kwa matapeli wa mjini.

Ukifika mjini kuna kiingilio cha kuutoa ushamba, nenda kwa matapeli hao ukalipie kiingilio.
 
umetokea kijijini wewe, haya mambo mbona ya kitambo sana kwa matapeli wa mjini.

Ukifika mjini kuna kiingilio cha kuutoa ushamba, nenda kwa matapeli hao ukalipie kiingilio.
Hapana mkuu mi sio wa kijijin nmekulia mjini.

Ishu ni kujua faida na hasara zake
 
Wiki hii nilimtafuta shehe mmoja nilipewa namba nikamuuliza unasafisha nyota akanambia kufanya ivo ni uchawi mkubwa.

Nilishangaa sana sikuelewa na wala hakunieleza
 
Hasara
1.kupoteza ubunifu katika kazi au biashara yako.
2.kuamini kuwa hakuna kinachowezekana paspo dawa.
3.kuwafanya waganga kuwa mungu wako.
4.kuwa mjinga kupitiliza.
5.usijalibu kufatilia juu ya elimu ya nyota ,it is hypothetical. .....
Kabisa mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom