Mwaka 2007, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Bukombe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Bwana Magesa Mulogo ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Mwanza alinukuriwa kama ifuatavyo:
"Tumebaini siri nzito katika mauaji haya ya albino; na hasa baada ya kuweka mtego wilayani Kahama ambapo wahusika...
ASKARI wawili wa jeshi la wanyama poli wameuawa jana jioni baada ya kupigwa na wananchi wa kijiji cha Nyamonge kata ya Runzewe wilayani Bukombe baada ya kuzaniwa kuwa ni majambazi.
Baada ya askari hao kuuawa pikipiki waliyokuwa nayo iliteketezwa kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la...
Wakubwa naomba kutoa feedback ya huu mchakato wangu.
Kwanza nianze kutoa shukurani zangu kwa wote waliochangia hii mada, pili niwashukuru wale wote walio weza kutoa mwongozo wa nini nifanye ili kufanikisha swala hili.
Kimsingi nimeweza kutembelea mashamba yote yaliyopo katika mkoa wa Kagera...
Wakuu heshima zenu.
Nina interest ya kuwekeza kwenye hii sector ya ufugaji either kwa kushilikiana na NARCO au na watanzania wenye blocks.
Eneo liwe kwenye Kikula Ranching complex ambayo inajumuisha Kikula yenyewe, Kagoma na Mabale, eneo la pili ni Missenyi Ranch.
Kama kuna mudau mwenye...
Nauza gari yangu DAF XF truck ya mwaka 2003 pamoja na tera aina ya uchanja (Super single), gari iko safari kupeleka mzigo Kahama na iko poa sana.
Vehicle Details:
Make: DAF XF
Model number: XF95
Registration: T714 CND
Engine number: U39501
Engine capacity: 12600
Bei ni 55m kwa pamoja...
Lake Ngozi ni creater Lake na nilapili kwa ukubwa barani Africa (the second largest Creater Lake in Africa). Hili ziwa mzunguko wake ni mile 5.7 ambazo ni sawa na 9.2km.
Joto lake kwa juu ni nyuzi joto 2000 (2000 degree centigrate) na inalifanya kuwa eneo mhimu sana kwa utafiti wa nguvu za umeme...
Wewe Mmalawi usitake kutufanya sisi wabongo hatujuwi haya mambo, kukufahamisha ziwa Nyasa kwa juu liko latitude ya 9 degree na dakika 40 kwa longitude ya 34 degree na dakika 15 (kwenye ramani ya QDS 273/2) ambayo inaitwa Lupila.
Kusini ziwa liko kwenye longitude ya 34 degree na dakika 40 ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.