Pata kiwanja Chanika Buyuni, na Kibada KigambonI

Pata kiwanja Chanika Buyuni, na Kibada KigambonI

starson85

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
146
Reaction score
14
Kiwanja cha Chanika Buyuni, square mita 800, kina hati, block 17 karibu na nyumba za PSPF za mradi bei 23. Kingine kipo Kigambon Kibada block 13 kina hati miliki square mita 600 bei 25m.

Kwa anaehitaji, Piga simu 0717 375801..

Karibuni..
 
starson85 uwe unanilindia nyumba yangu hapo Buyuni...
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wenye akili kma zako bigurube kamwe hawawez kuendelea utaishia hvyo hvyo ulivyo maisha yako watu tuko serious na kazi zetu unaandika kunya kwenye matangazo ya watu repsct your self nahitaji watu makini wenye akili makin sio mgando kama zako hua sijibb ushenz nimelazimika kufanya hvyo respect idea za watu
 
kuzuri sana kule aisee hakuna msongamano mitaa imepangika vizuri kabisaa nina eneo langu maeneo ya mbele ya nyumba za pspf!
 
Watanzania wenye akili kma zako bigurube kamwe hawawez kuendelea utaishia hvyo hvyo ulivyo maisha yako watu tuko serious na kazi zetu unaandika kunya kwenye matangazo ya watu repsct your self nahitaji watu makini wenye akili makin sio mgando kama zako hua sijibb ushenz nimelazimika kufanya hvyo respect idea za watu

Huyo BIGURUBE anamtindio Wa akili achana nae.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nlibahatika kupata chenye ujazooo wa Sq 2000.

Hata Mtu aje na 50M siko tayar kumuuzia. Pamechangamka sana pale(Buyuni Ilala)

Ile sio Chanika Exactly, kwani kuanzia pale kuna 4.6Kms mpaka ufike Chanika Penyewe. Ile ni kata ya Majohe.
 
Ok mwana ilalla kweli pamechangamka sana...na pametulia usiuze kma vip hyu n ndugu yangu ana vingi asa anauza kule coz anataka afanye one of his project ila pazuri
 
Ninacho block7 Buyuni, kina 1313sqm na bei yake ni 30m. Kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane hapa.
 
Miguu 20 X 20 Chanika Mjini(Vodete)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

0715-240140
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom