Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Mkuu umenikumbusha pia ile chemchem ya maji ya moto pale Kondoa, nilielezwa kina chake hakijulikani, maajabu mengi nchi hii.Niliwahi kusikia kuwa Lipo ziwa linaitwa DULUTI huko Arusha maeneo ya Tengeru kuwa linaendana tabia na hili ngozi.
Hilo ziwa (Duluti) halitoi maji wala hakuna mto unaoingiza maji lakini iwe masika iwe kiangazi maji hayaongezeki wala kupungua, pia kina chake hakijulikani.
Sijui kitaalam hii ikoje.