Recent content by Chibati

  1. Chibati

    Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

    Utavuna ulichopanda...hakuna uhuni hapo. Acha sheria zifate mkondo
  2. Chibati

    Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Mimi mwenyewe sitokaa nisimulie jema la huyu mwendazake maana katesa wengi nikiwemo Mimi! Huyu ingekuwa ni amri yangu sote tulioteswa nae iwepo siku maalum ya kwenda kulichapa viboko lile Kaburi lake. Alinivunjia nyumba yangu kishenzi sana huku akijinasibu kuwa hatukumchagua...akaenda mbali...
  3. Chibati

    Anayemtuma au kumtumia Wilbroad Slaa kuichafua CHADEMA hatafanikiwa

    Laana ya kusaliti imani ya kitume haimwachi mtu salama. Maagano wanayoingia na MUNGU ni Laana tosha kuyakengeuka
  4. Chibati

    Umejiandaaje pale Familia yako itakapokutenga?

    Kuna sehemu ubongo wangu umefunguka aisee.... Nishastukaaaaaaa Yaani kwa somo hili,tunatembea na sumu za panya ndani ya familia tulizoziumba wenyewe
  5. Chibati

    Rais Samia Suluhu imulike NHIF

    Lipeni kwa wakati hao wadau wenu ili wanachama wa NHIF tusionekane vituko tufikapo kwenye vituo vya kutolea huduma. Maana kadi zetu za NHIF zinachukuliwa na watoa huduma kama MUFILISI tumeingia vituoni mwao. Kama ipo miongozo mnayowapatia hao watoa huduma inakuwaje wao kukengeuka kuifata mpaka...
  6. Chibati

    Rais Samia Suluhu imulike NHIF

    Wewe ndo haswaa mtu wa NHIF.... Kwenye hayo mapungufu mnamchukuliaje huyo mtoa huduma? Miingozo anayo au hana? Ni kweli mtoa huduma anaweza fanya huo usanii ili apoteze fedha zake? Au ndo kumkomoa tu atajaza mwenyewe? Na hicho unachosema analipwa kama huruma unamlimpa kwa wakati? Analeta madai...
  7. Chibati

    Rais Samia Suluhu imulike NHIF

    Hakuna kitu kama hicho ndugu. Natibiwa maemeo makuu ya afya hapa nchini ninachopata ni taarifa tu kuwa nimetibiwa. Lakini si kikokotoo cha gharama nilizotibiwa. Hizi za tiba napewa kwenye form tu. Lakini kiendacho huko ni tofauti. Labda kama wewe unalijua hilo basi utakuwa NHIF servant. Najua...
  8. Chibati

    Rais Samia Suluhu imulike NHIF

    Nimekuwa mdau muhimu kwenye hii taasisi inayojihusisha na huduma muhimu za Afya yetu watanzania. Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia inayopelekea hii NHIF kuwa chaka la kupiga fedha za Serikali,nikimaanisha michango ya wanachana kuwa ni pombe ya ngomani kila mmoja anajichotea tu. Kuna...
  9. Chibati

    Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Wee utakuwa Chahali au umetumwa nae. Kuhoji Tundu Lisu kwa nini haongei,,,nyie ndio mliratibu mazungumzo yake kule Belgium!??? Keshamaliza kazi yake,Mbowe yuko uraiani. So what?
  10. Chibati

    Watanzania mtakuja mshangae kuhusu hili suala la Ndugai

    Mnatuchosha na huku KUDEMKA kwenu sasa
  11. Chibati

    Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

    Ningeshiriki uchimbaji wa kaburi lake,ningeshauri tuchimbe kilometa 20 kwenda chini ya ardhi. Maana anaweza kuja fufuka huyu
  12. Chibati

    Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

    Umesahau madhila tuliyoyapata wakazi wa kimara,mbezi,kibamba na kiluvya. Ile bomoabomoa aliifanya kisiasa tu...CHADEMA ilifanya wakazi sisi tuwe wakimbizi tu. Wengi tuliwazika kwenye janga lile. Ila kule kwake kanda ya ziwa wao walikula matunda ya nchi kwa kulipwa fidia zao.
  13. Chibati

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Taabu yote ya nini!!! Kopa mkopo bank,vicoba na sacos uone kama hujabaki mgongo tu
Back
Top Bottom