Recent content by chibasi

  1. C

    Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

    Mchelea Mwana Kulia Ulia Mwenyewe, Asiyesikia La Mkuu... Pia Mashirika Kama NIC, PPF, TANESCO
  2. C

    Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

    Rais Wetu Anadhamira Dhabiti, Atatimiza Na Pia Historia Ya Nchi Itamkumbuka Na Atakuwa Amechochea Ukuaji Wa Mikoa Jirani Na Dodoma
  3. C

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Rais Anaongea Ukweli, Na Tabia Ya Ukweli Hautaki Ushenga, Kusema Kunamtu Amelipwa Mabilioni Ni Kosa? Au Kuboresha Mazingira Yao Ni Kosa?
  4. C

    Ushauri kwa Vyuo vikuu: Walau nusu ya wahadhiri wawe na PhD

    Elimu Yetu Inajali Waliokariri Zaidi Kuliko Uelewa, Kuna Watu Wana Gpa Nzuri Sana Lakini Uelewa Wa Fani Walioisomea Na Utendaji Wao U Chini
  5. C

    Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    Atulie Tu, Jivu Haliunguzi! Raisi Chapa Kazi Kwa Maono Yako Kwa Taifa Hili
  6. C

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Labda Ni Kwa Muda Mfupi Kuepuka Hotuba Zitakazoongerea Mambo Ya Zanzbar
  7. C

    Serikali yapiga marufuku matangazo ya tiba za asili na tiba mbadala

    Tiba Kama Tiba Haina Shida Kabisa Kinachotakiwa Ni Uthibiti Wa Uendeshaji Ili Zitolewe Kwa Ubora Sitaki Na Si Kweli Kwamba Wote Hawajasoma Kuna Prof Mmoja Wa Lishe Wa University Uko Moro Naye Anatoa Tiba Mbadala Nilimsikia Tbc Taifa Radio
  8. C

    Serikali ya walimu haina urafiki na walimu

    Hapo Patamu Mwalimu Bila Ualimu Na Ualimu Bila Masilai
  9. C

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Kwanza Ongera, 1.Madaraja Ya Ufaulu Kwa Wanafunzi 2. Madaraja Ya Mshaara Kwa Waalimu Wengi Wametumikia Daraja Moja Kwa Mda Mrefu 3. Mtaala Wa Elimu Ifanye Elimu Ikidhi Mahitaji Ya Viwanda, Kilimo Na Ufugaji 4. Weka Mfumo Unaojali Vipaji Vya Watoto Mfano Mtoto Anaweza Kuanza Chuo Cha Awali...
  10. C

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Wana Wa Islaeli Walianzia Utumwani Kabla Ya Nchi Ya Ahadi, Watanzania Sasa Tutarajie Neema Ila Wezi Na Wazembe Watarajie Mkosi
  11. C

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Walimu Sasa Shangwe,elimu Itapanda Hakutakuwa Na Kubebana Tena
  12. C

    KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    Kenya Wanatumia Ngamizi Sisi Tumetohoa Kompyuta
  13. C

    Katibu Mkuu Kiongozi Vs. Waziri Mkuu, nani mwenye mamlaka/mkubwa kwa mwenzie?

    Waziri Mkuu Ndiye Katibu Wa Baraza La Mawaziri
  14. C

    Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Muda Wa Urais Ni Miaka 5 Na Mbunge Halijakaa Sababu Mambo Mengine Ili Yatekelezwe Kiufanisi Hana Budi Kubadili Sheria Zote Kandamizi Hivyo Tumpe Muda
Back
Top Bottom