Kwahy kwa upande wako komandoo kama rambo au vandame anauwa yy tu na anakwepa risasi. Thamini cha kwako lazima tuwape haki yao wameonesha kwamba wanaandaliwa na wana mazoezi ya kutosha hii inatosha tiamini iwapo watapewa majukumu ya ulinzi wa taifa leo wapo tayari na wameandaliwa kwa hilo
Pia sio kosa rais kumpokea mgeni wake sehemu tofauti na airport muhimu taratibu za kiitifaki zifuatwe katika mapokezi pale patapoonekana panafaa kama ikulu.nk kama ziara yake ni state visit atapigiwa na mizinga 21 kama ni ziara za kawaida hata hiyo mizinga hapigiwi
Hizo ni taratibu tu za kiprotocal hata alipokuja raisi wa Ujerumani alifika baada ya saa moja raisi hakuenda kumpokea na alipokelewa siku ya pili yake mtu viwanja vya ikulu mleta Uzi fanya utafiti kabla ya kuleta ujinga na unataka watu waamini ujinga wako
Inapaswa polisi wapewe mafunzo ya kutosha kumuaga maana ya ugaidi maana athari zake kubwa kwa nchi yetu kutangaza kifua mbele.hao ni wahalifu tu ambao wanapeana mafunzo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.