Recent content by Chezatena

  1. Chezatena

    Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

    Katika serikali makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara, in short mawazir wao ni walezi au wasimamizi lakin sio wataalam kitaaluma katika wizara zao, mikataba yote kabla haijasainiwa na wizara husik lazm ipite kwanza, kwanza kwanza kwa hao makatibu wakuu, , hivo wawajibishwe kwanza na kama...
  2. Chezatena

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari, Natafta mwl wa kubadilishana aje sumbawanga manispaa mimi niende bukoba elimu secondary 0622133723
  3. Chezatena

    Uhamisho

    Habari ndg walimu, Naomba kubadilishana kituo cha kazi yeye aje Mkoa wa Rukwa manispaa Sumbawanga mimi nije, Kagera, Geita, shinyanga. Idara secondary. Masomo Phys na Chem Mawasiliano: 0622133723
  4. Chezatena

    Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

    Kiukweli Mh, anafanya kazi kubwa sana, changamoto kubwa ni hali ya uchumi mtaani, watu wako busy kutafuta chochote cha kuweka kinywani.
  5. Chezatena

    Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Ukishaomba majina yote yanajadiliwa na ofis ya kata, hizo taarifa unazotuma kweny mfumo ni kwend tu kweny data base ya nbs lkn hawa unaowakimbia kaa nao karibu ndg yangu, ukiwakwepa watakukwepa utaangukia tumbo
  6. Chezatena

    GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Ndg mheshimiwa, a) naomba kuuliza ni miradi gan ya serikali utaiendeleza au kuistisha kwa faida ya wana jamii. b) vipaumbele vyako katik taifa hili ni vipi haswa?
  7. Chezatena

    Natafuta kazi ya ualimu wa Physics na Chemistry

    Habari ndugu, Naitwa Hamduni Dauda Ibrahimu. Napenda kuomba nafasi ya kazi katika nyanja ya ualimu kwa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY. Nipo mkoani Kagera ila niko tayari kufanya kazi mahala kokote nchini Tanzania. Nawasilisha, Mungu awasaidie. Mawasiliano: +255622133723
  8. Chezatena

    Naomba kazi ya Ualimu, nafundisha Physics na Hesabu

    Habari ndugu, Naitwa Hamduni Dauda Ibrahimu, Napenda kuomba nafasi ya kazi katika nyanja ya ualimu kwa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY. nipo mkoani Kagera ila niko tayari kufanya kazi mahala kokote nchini Tanzania. Nawasilisha, Mungu awasaidie. Mawasiliano 255622133723
  9. Chezatena

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mchezo wa leo me nautabiria ushindi wa 2 kwa simba na yanga moja Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Chezatena

    Nipokeeni mgeni humu ndani

    Naitwa Ibra. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom