Natafuta kazi ya ualimu wa Physics na Chemistry

Chezatena

Member
Dec 26, 2019
12
5
Habari ndugu,

Naitwa Hamduni Dauda Ibrahimu.

Napenda kuomba nafasi ya kazi katika nyanja ya ualimu kwa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY. Nipo mkoani Kagera ila niko tayari kufanya kazi mahala kokote nchini Tanzania.

Nawasilisha,

Mungu awasaidie.

Mawasiliano: +255622133723
 
Ingia website ya brightmonday Kuna kazi zimetanganzwa na shule moja ipo mwanza.
 
Back
Top Bottom