1. Receptionist = Mhudumu wa Mapokezi/Mpokezi
2. Desktop Publisher = Mchapishaji Dawatini
3. Programs Intern = Mfunzwa wa Programu
Kwa mafunzo zaidi ya lugha ya Kiswahili kuhusiana na kiingereza. Buy my book on Amazon
Hivi mtu anayeamka kila siku kufikiria kupambana na Mheshimiwa Rais bila sababu ya msingi, mtu huyu ana lengo gani. Mheshimiwa Rais anajenga barabara, anajenga reli, anakusanya kodi na sasa anadhibiti mapato ya madini vitu ambavyo Mheshimiwa Rais anatakiwa kupongezwa na kutia moyo.
Sasa mtu...
Repealed 63.-63A. [Repealed by Act No. 3 of 1976 s. 55.]
63B.-(1) Any person who, to any assembly, makes any statement
likely to raise discontent amongst any of the inhabitants of the United
Republic or to promote feelings of ill-will between different classes or
communities of persons of the...
Hivi kesi huwa ni kushindana mtu apewe au anyimwe dhamana? Mimi nafikiri kesi ni kujitahidi kutengeneza mashitaka yatakayomtia mtu hatiani mapema iwezekanavyo bila ubishi. Suala la kucheza na akili za mashahidi kwa maswali ya kiujanjanja sio kujua sheria. Kumuuliza shahidi kwa mfano sheria gani...
Ili kupata Continental channels, anza kwa kuangalia uelekeo ule ule wa ZUKU au Startimes dish halafu shuka kidogo yaani shusha dish lako chini ya ZUKU ili kuinasa satellite ya ABS weka Frequency 11150 Symboal Rate 45000 V kama umeleza LNBF yako au weka H yaani Horizontal kama umesimamisha LNBF...
Kujipa uperfect ndio lugha gani. Rais anafanya kazi inavyotakiwa hadi anasifiwa nje. Wewe unadai anajipa uperfect. Ulitaka ajipe uzembe? Mawazo mgando hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.