Wenye continental decoder, matangazo yamerudi?

Wenye continental decoder, matangazo yamerudi?

walikuwa wanatumia setelaiti ya amos 5 imepotea so kwa sasa wanatumia setelaiti ya ABS 3A frequence 11150,symbole rate 45000,polarization vertical,direction 3 degree west
 
walikuwa wanatumia setelaiti ya amos 5 imepotea so kwa sasa wanatumia setelaiti ya ABS 3A frequence 11150,symbole rate 45000,polarization vertical,direction 3 degree west

Ting nao wamerudi mkuu?
 
ting nao walikuwa wanatumia amos 5 sinauhakika sana kama nao watakuwa wamehamia ABS 3A
 
Habari wanajamii,

Continental kwa sasa wanarusha matangazo yao kutumia Satelaiti ya ABS 3A frequence 11150, Symbole rate 45000, Polarization vertical, direction 3 degree west.
 
Habari wanajamii,

Continental kwa sasa wanarusha matangazo yao kutumia Satelaiti ya ABS 3A frequence 11150, Symbole rate 45000, Polarization vertical, direction 3 degree west.

Kwa hiyo wamerudi!!!
 
Ili kupata Continental channels, anza kwa kuangalia uelekeo ule ule wa ZUKU au Startimes dish halafu shuka kidogo yaani shusha dish lako chini ya ZUKU ili kuinasa satellite ya ABS weka Frequency 11150 Symboal Rate 45000 V kama umeleza LNBF yako au weka H yaani Horizontal kama umesimamisha LNBF yako angalia picha zangu
 
Hata mi kwangu ilikata matangazo karibu wiki tatu,, nikawapigia,, sasa nawaelekeza ili nanyie muweze kurudisha matangazo hewani,, chukua hiyo rimoti yako ya continental,, bonyeza menu,, utaenda channel manager,, then channel serch,, utaweka password sifuri nne baada yahapo channel zako zitarudi,, ukishindwa nipm nikuelekeze vzr
 
Azam wako vizuri kuliko zuku, kwasababu azam wanarusha local chanel bure hata ucpolipia, tofauti na zuku kifurushi chako kikiisha hupati chanel yeyote bure labda zile za fta.

Situmii Azam na nilisikia kua wao hawarushi bure local channel usipolipia, wameanza lini mkuu?
 
Kumbe kuna shida hivi?
Binafsi nltaka kumuita fundi but ngoja niangalie uwezekano mpya!.
 
Hilo dish linashushwa kidogo palepale lilipokuwa au linazungushwa japo kidogo? Kueleka upande gani!
 
Usilizungushe. Susha chini uelekeo huo huo. Nenda kushoto kidogo uelekeo huo huo lakini shuka chini.
 
Back
Top Bottom