Recent content by cheusimangalami

  1. C

    Hizi hapa fursa 20 kwenye ufugaji

    hiyo namba 19. nmeshaanza kuiwaza bado kuifanyia kazi tu.
  2. C

    “Adolf Hitler is Donald Trump’s grandfather”– Mugabe puts Trump in his place

    hahahaha! huwa napendezwa sana na mameno ya Mugabe, tungepata Mugabe watano tu Africa ingekuwa powa sanaaa
  3. C

    Nahitaji mke wa kuoa

    nimekosa sifa moja tu! hii ilikua bahati yangu
  4. C

    Natafuta kazi ya uhasibu au nyingine inayoendana na iyo mkoani dodoma na mikoa ya karibu.

    asante kwa ushauri! unajua shida ya wachapakazi tulio wengi kujieleza hutujui..
  5. C

    Natafuta kazi ya uhasibu au nyingine inayoendana na iyo mkoani dodoma na mikoa ya karibu.

    Mkuu cc. jemedary labda mimi uelewa wangu mdogo. ila accordinga to NBAA Accounting Programmes recognized by the Board ni bachelor in accounting/commerce/finance/business admn. labda kama bodi wanadanganya.
  6. C

    Natafuta kazi ya uhasibu au nyingine inayoendana na iyo mkoani dodoma na mikoa ya karibu.

    Najua humu jf ma-hr na wakurugenzi kadhaa wanaingia humu. Nina uzoefu wa miaka minne kwa kazi za kihasibu na ni kijana mchapakazi na mwadilifu. Nina shahada ya uongozi wa biashara. contact: 0674167765. kwa aliye serious kunisaidia na Mungu atambariki.
  7. C

    Diamond na Zari waanza white party kihivi!!

    yani ulivoongea sipunguzi wala kuongea neno.
  8. C

    Natafuta mwanaume ili aje awe mume

    Nitajitahidi kuwa makini, thnx kwa ushauri.
  9. C

    Natafuta mwanaume ili aje awe mume

    kwanza wanisamehe wote walioni"pm". mimi ni mgeni humu kumbe kuna sharti kua ili pm iwe active natakiwa atleast niwe na post 5, mimi sikulijua ilo kwaiyo nlipotaka kumjibu mtu wa kwanza tu aliye ni-pm ikagoma. naomba mnivumilie mpk kesho ntakuwa na uwezo wa kuwajibu pm nlizonitumia.
  10. C

    Uzuri wa ugeni

    Hoooooodi!mnikaribishe mie mgeni jamani. Afu uzuri wa ugeni ni kuwa unapewa vitu vizuri vizuri, chakula kizuri sehemu ya kulala nzuri na maongezi mazuri mazuri.
  11. C

    Natafuta mwanaume ili aje awe mume

    Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke. Sifa; -Ajiamini, -Umri 28-35, -Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha. -Awe amejiajiri au ameajiliwa. -Dini awe mkristo. Sifa zangu; -Miaka 27, nina shahada ya kwanza. -Mwajiriwa. -Aliye tayari aje pm kwa...
Back
Top Bottom