Samuel etoo Phil alikuwa mchezaji mahiri wa Barcelona amecheza na combo imara na bora kabsa kuwshi kutokea Hispania na dunia nzima mbele ya ronadinho gaucho,deco, xavi na iniesta chini ya team coach Frank baada ya kuingia gurdiola, msimu wa 2008/2009 etoo alifunga magoli 36 pamoja na lile...
N upumbavu mkubwa kwa toure kuomba msamaha amekubali ubaguzi kwa maslahi yake sasa na gardiola alivyo mnafki na namba hatopata bora angekaza mwez wa 1 asepe timu nyingine kubwa pale uingereza akamjibu uwanjan kama etoo alivyomjibu
Huu n ujinga ulee mimba ya dume lenzio ukiwa unajua kabsa kwa akili ya kawaida mimba hujamtia ww unasubir vipimo vya mzungu na biology yake DNA acha uzuzu JIPU ILO TUMBUAA
Hii inaonesha kabsa bado uwezo wa kuelewa mambo kwa watanzania ambao ni wasomi bado mdogo sasa hebu reflect kwa wale ambao hawajawai kanyaga darasani inakuwaje? Wasomi tumieni changamoto kama fursa sio kuamka asubuh na kuanza kulalamika na Magufuri, tumia elimu yako; Kwa mm namuelewa mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.