Recent content by Chetikungu

  1. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Ninapata tabu kuamini kama Megawat 268 zinafanya karibu nchi nzima isiwe na umeme

    Umewahi kumuamini kipara ?? mdau nchi ya hovyo sana hiii
  2. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

    Pumbafu, huna akili, kama unazo basi unavojisaidia chooni umeziflash jumla jumla
  3. Chetikungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadi wanawake wenzake nao wamemdharau? Imenikwaza sana

    Wewe na mkeo wote hamna akili, yani umefanya research yako ukaona gari ya kumpa mkeo ukanunua safi kabisa, ukampa kipenzi chako, anatokea mwanamke wa Saloon tu ambae hana hata vits kama ulivyosema na story alizozisikia facebook kakuvuruga mpaka ukatafta dalali, daah
  4. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

    oyaaaaa, bwa wa bongo ni wanoko kichizi, issue sio yao wameshadadia
  5. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Ninunue brand gani ya TV kati ya hizi?

    Mbona hapo hamna Tv, kwani SONY, LG au SAMSUNG hujaziona?
  6. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Highland Villas appartments Mikocheni inamilikiwa na nani?

    za Familia ya Mungai
  7. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Ezekia Dibogo Wenje anajua sana, ni mwanasiasa Smart

    yah sure siasa yake ni ya kuongelea vitu na sio watu, kuna haja ya wanasiasa wachanga kujifunza kwake.
  8. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Ezekia Dibogo Wenje anajua sana, ni mwanasiasa Smart

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, Hivi umejaribu kutumia hata dakika tano kumsikiliza huyu jamaa anaitwa Ezekia Wenje Mbunge Mstaafu wa CHADEMA wa jimbo moja huko Mwanza, jamaaa anajua na anajua tena. Jamaa akiwa anaongea unaona hadhira wanatulia kama wamemwagiwa maji, anajua jinsi ya...
  9. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Makambako: Mapokezi ya Freeman Mbowe na kikosi chake yaghairisha shughuli za kijamii

    Shida ni mbunge kutokuweka nyavu sio wanafunzi kutokea dirishani, hivi huyu si ndio mbunge ambae hajawahi kuona mahela yamemwagija jimboniii
  10. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania WanajamiiForums wote tuna Landcruisers

    Amka boya ukakojoe, kunakoelekea utaota unataga,
  11. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Hali tete thamani ya Shilingi ya Tanzania ukilinganisha na Dola ya Marekani kwa kipindi linganifu cha mwaka mmoja uliopita (2020)

    Wanajamvi, salaam Naenda moja kwa moja kwenye point Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
  12. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Salary slip ya Julai, 2021: Hakuna Tzs 2,500, deni la HESLB halijapungua

    ingia kwenye account yako ya HESLB angalia statement, mimi langu limepungua sana tu, ila makato kama tulivyoambiwa yatabaki vile vile.
  13. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Kodi za Kizalendo kwenye huduma za simu fedha na mafuta zitampaisha Dkt. Mwigulu uchaguzi mkuu ujao au 2030

    Naimani kubwa wewe ni Mataga pro-max, yani kodi zinazoumiza wananchi na kupandisha gharama za maisha we unasema zitampa muasisi milage, kweli kuna kazi kubwa kuelimisha watanzania kuhusu elimu ya ulaia na uzarendo.
  14. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi huu (Oktoba 2018) ushaingia?

    kaa vizuri na wewe uingiziwe mkuu
  15. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa anga za juu?

    acha kua na mawazo finyu
Back
Top Bottom