Recent content by cheskodisco

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kutana na harusi ya aina yake

    Huyu jamaa ni Wa nchi gani anaitwa nani
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bunga kiboko kwa wanaume "Dakika mbili"

    Inapatikanaje weka contact zako
  3. C

    JamiiForums Tanzania Eti kama haukuwa kati ya shule hizi, we ni kilaza ?

    Niesoma Usagara A level 1987 to 1989 naomba namba ya group ya mmojawapo nakumbuka Galax, Bibi, Mzee Juma Masamkara ,Moringe , headmaster wa wiki Mr saliboko Mr Keto
  4. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla hapa umechemka! Huku sio kufikiria hata kidogo

    Kuna haja ya Rais kuwapa semina elekezi Mawaziri wake ili kuboresha utendaji kazi sababu baadhi ya Mawaziri wamekuwa wakitoa baadhi ya amri ambazo hazitekelezeki
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa Mtu

    subiri mtoto azaliwe ukapime DNA
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kama kweli kutumia Fedha za Muungano kujenga barabara kunakuza uchumi

    Msongamano wa magari unasababisha watu kuchelewa kazini kwenye maeneo yao ya biashara kununua bidhaa nje ni jambo la muda mfupi lakini ukijenga barabara utakuwa umezesha uchumi wa mtanzania kwa muda wote umeokoa muda wake wa kufika eneo la kazi na atakuza uchumi wa Taifa
  7. C

    JamiiForums Tanzania How the son fixed the father

    amazing
Back
Top Bottom