Recent content by ChescoMatunda

  1. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameendesha makampuni ya usafirishaji abiria nchini lakini Serikali inaamini hawawezi kuendesha kampuni ya Mwendokasi

    Tatizo ni hao hao watia saini wanataka cha juu sasa humu ndani wanahofia unoko ni hayo tu vinginevyo watanzania wanaweza kuendesha mwendo kasi kwa ufanisi mkubwa tuu,
  2. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu yaani anaenda kufungwa goal 4+

    Hofu yangu mikia wakifungwa leo sijui kesho pata-amkaje 🙏🙏🙏
  3. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Kwenye hili naamini yuko clean kipindi kile cha list of shame alikaa kimya maana yake aliogopa kujiumbua zaidi lakini sasa hataki kuchafuliwa bure over
  4. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    Utabiri wako umekuwa kweli
  5. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    Naiona Namungo fc afu azam fc haipo hapo inakuwaje? [emoji848] [emoji848]
  6. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wakisoma Quran wanakuwa kama wanaimba?

    Hivi huwezi kusoma kama kitabu
  7. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusiwabane sana watoto wetu, tuwape uhuru kama huyu wangu.

    Anything too much is harmful
  8. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

    Mi ndo nasubiri kidogo kipoe, afu kasi ya kula hicho chakula najijua mwenyewe kuna mtu aliniuliza mbona unakula haraka hivyo? Jibu simple, yaani nitafute pesa kwa tabu hata kula tuu iwe kwa tabu na taratibu noo siwezi.
  9. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

    Mkuu uliotea kweli yaani kufungwa 3-1 ni ushindi mkubwa kwenu simba sc. Maana ile 0-3 nyumbani ilikuwa aibu kubwa
  10. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Polisi aliyeiba 4.8b atorokea Afrika Kusini

    Hahaha ha wapigaji kama wapigaji wamelengana wenyewe kwa wenyewe niko pale [emoji117][emoji117][emoji117] na pocon [emoji897] zangu naangalia mwisho wake[emoji23][emoji23]
  11. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Tunafanya utapeli pokea pesa baadae unaweka sheria ya kuzuia mapenzi jinsia moja pambafu kabisa. Pumbafu dawa yake jeuri, tapeli kwa tapeli, mwizi mwenzake mwizi, staki ujinga ujinga wanangu wazikose pisi kali, kisa wamekuwa mashoga Mungu pishia mbali kabisa na kizazi changu na ushetani huu.
  12. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

    Isee ujumbe umufikie afande over!
  13. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    Ila ikitokea ishu ya opposition parties wako makini kwelikweli hapo wanastahili pongezi na makofi meeeengi
  14. ChescoMatunda

    JamiiForums Tanzania Kwa huyu Mwanamke naamini Shetani anaona wivu kishenzi

    [emoji848][emoji848][emoji848][emoji4][emoji4][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kubwa jinga!
Back
Top Bottom