Recent content by cherryC

  1. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

    Heee...si utambaka mwenzako....kama hajisikii jeeee????
  2. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

    Pole sana my dear...so sad...
  3. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona mimi sipati demu bikra?

    Ukiona hivyo we mwenyewe sio bikira...kila mtu atapewa wa kufanana naye...
  4. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bosi anaisambaratisha familia yangu huku nikiwa sina la kufanya

    MUNGU akutie nguvu...katika hilo jaribu unalopitia...kikubwa hapo unahitaji kufunguliwa...
  5. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumuoa ndio nimejua alishazaa na mwanaume mwingine

    Mbona hata hao ambao sio singel mothers...baadhi Yao wakiolewa bado wanaendelea kukumbushia na ma ex boy friend zao.. .so naona ni tabia ya mtu....kama mtu anajitambua vizuri hawezi kufanya hicho unachokihofia...kwa hyo relax...Endelea kuombea ndoa yako Amani itawale...
  6. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki dawa

    Pole my dear...wala usijihukumu wala kukata tamaa ......kikubwa weka tumaini lako kwa MUNGU...naye atatenda...ataondoa kila aina ya magumu unayopitia....naomba usikate tamaa...bali mlilie MUNGU kwa kumaanisha na yeye atakuitikia....
  7. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napatwa na hizi hisia kila mara...nifanye nini mimi?

    Kikubwa ni maombi....nenda kanisani...pendelea kusoma neno la MUNGU...jiweke karibu na MUNGU..utashangaa hiyo hali inapotea yenyewe
  8. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Ataweza nisamehe?

    Epuka hz ishu za "nilisikia" zitakucost kila cku kwny mahusiano...
  9. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananishangaza sana

    Sema unataka kuchepuka.......na si vinginevyo...
  10. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Mmmmh...MUNGU akusaidie...ili ujitambue....
  11. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumuacha aende

    Hilo nalo nenooo...
  12. cherryC

    JamiiForums Tanzania Hodii...mi mgeni naomba mnipokee

    Poa
  13. cherryC

    JamiiForums Tanzania Hodii...mi mgeni naomba mnipokee

    :rolleyes::rolleyes:
  14. cherryC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

    Fanya uchunguzi...usiishi kwa makisio....
Back
Top Bottom